Magaidi, ugaidi na hao wote mlioaminishwa ni maadui kupitia MEDIA na propaganda zote hizo ni njama tu za kijinga za kudanganya ulimwengu na hizo zote ni deals+projects za watu.
Hao wataliban pamoja na magenge yote yanayojulikana kupingana na USA mala nyingi huwa ni projects zao wenyewe wanazofanya zinazowapa faida za kisiasa, kiuchumi na kipropaganda.
Wazungu sio wajinga waondoke wawaachie siraha na kila aina ya dhana za kivita eti kisa kuwakimbia raia ambao wangeweza kuwasambaratisha kwa Fast jet moja isiyo na ruban[emoji23].
Huwa nashangaa sana kuona eti kakundi kadogo ka watu wanaosemekana ni magaidi ambayo hayawezi hata kuunda SMG zaidi ya kupora au kuhongwa na wafadhiri et wayasumbue mataifa yenye nguvu ambayo ndiyo wazalishaji wa siraha, mbinu za kivita, dhana za kukinga mashambulizi ya siraha za kivita, technolojia ya ndege hatari zinazokwenda kwa kasi zaidi ya kasi ya sauti na ufanisi mkubwa wa mashambulizi, matumizi ya siraha zisizozuilika kiurahisi na zenye kasi kubwa(hypersonic missile), matumizi ya Radar na satellite kudetect vifaa vya maadui na siraha zao, pia location za maadui.
Hayo yote yanawezekana kuwafuta hao wanaosemekana ni magaidi kwa muda mfupi tu kama wanavyofanya huko Ukraine wanakotuonesha ufanisi wa siraha zao.
Jiulize hizo siraha zitumikazo Ukraine ushawai ziona zikitumika kupambana na hawa tunaoaminishwa ni maadui wa USA ama wanaoitwa magaidi?[emoji23][emoji23].
Majibu mnayo ni kuwa ni ngumu kuwamaliza hawa tulioaminishwa ni wabaya maana waliundwa ama walitengenezwa kwa sababu maalum na kamwe hawatosambalatishwa labda wagawanywe tu lkn sio kuangamizwa kabisa.
Hizo ni projects za watu, hivyo vyovyote mlivyoaminishwa sivyo ilivyo
huwa tunasema ni ngumu kwa hii dunia ya sasa kupata unachokitaka bila kutumia Akili na mifumo danganyifu
Ukitaka kutawala ni lazima uwe na mifumo miwili ya kutawala 1)direct rule huu ndio mfumo wa utawala unaokubalika dunia nzima kutawala kwa sheria na taratibu za maeneo ya mipaka unayohusika nayo tu,
2)indirect rule hapa ndipo ulipo mfumo wa kutawala maeneo fulan nje ya mipaka yako kupitia migongo wa vibaraka+mifumo kandamizi, vikundi vya kigaidi na vikundi vinavyoaminika kupigana na serikali za nchi kwa kudai haki fulan nchin, au kuibuka kwa makundi ya kigaidi yanayojinyakulia maeneo nchini na kuanza kuunda makambi na tawala zao, huu nao ni mfumo wa utawala wa mataifa katika mataifa mengine, kwahiyo basi hata hao mlioaminishwa ni maadui wa taifa fulan ama magaidi fulan karibu wote ni hawa hawa waliundwa tu kucontrol maeneo na mikapaka ya nchi fulani fulan , huku ktk MEDIA tukiaminishwa kuna mizozo(WHICH IS NONSENSE).
soon mtayagundua haya pale hao wataleban watakapoanza kufuata swaga za USA kupambana na mahasimu wake huko mipakan kama vile IRAN, na tyr kilinuka, wao kuacha siraha hawakuwa wajinga, kukaa muda mrefu huko hawakuwa wajinga, walikuwa wakiyaimarisha hayo makundi kwa faida zao za baadae(muda huu).
HAYA MAMBO UTAYAGUNDUA TU UKIWA SI MSHABIKI WA SIASA WALA MTUMWA WA KIFIKRA.