Wewe mdandia dini ndo unawavua dini waarab ? Ebu oneni aibu aseeePropaganda za kijinga hizo. Hana Uislam huyo hata chembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mdandia dini ndo unawavua dini waarab ? Ebu oneni aibu aseeePropaganda za kijinga hizo. Hana Uislam huyo hata chembe.
Waarabu waliteka watumwa,wakawa wanawaua.Mtumwa mmoja mweusi akasema mm ni mwislam.Yule mwarabu akampiga risasi akamwambia slave has no AllahMuislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.
Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.
Wewe siyo Muislam?
Kwa nini usihamie huko ukaendelee kuwasifuHilo gwaride ndiyo sherehe rasmi ya ushindi wa Taliban toka August 2021 USA walipotoka nduki.
Wenye akili wameshtuka