Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

Muislam ndugu yake ni Muislam, awe wa Afghanistan au Wamarekani, haijalishi. Waislam wa dunia nzima ni kama Kiwiliwili kimoja.


Muislam hawi na ugomvi na yeyote duniani, tunaruhusiwa kujihami na kurudishia tu tunapoanzwa. Haturuhusiwi kulianzisha.


Wewe siyo Muislam?
Waarabu waliteka watumwa,wakawa wanawaua.Mtumwa mmoja mweusi akasema mm ni mwislam.Yule mwarabu akampiga risasi akamwambia slave has no Allah
 
Kwa nini usihamie huko ukaendelee kuwasifu
Kwa sabau kule kuna baridi kali kipindi cha baridi.

In shaa Allah napanga kwenda kujifundisha wanavyo sindika "preserve" vyakula bila madawa, hakuna anayewapata duniani kwa hilo.
 
Back
Top Bottom