Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Ahadi ya zile bikira kule peponi.Ila roho za mauti zinanguvu sana kumbe! imagine yani mtu unawashwa tu kutaka kufakufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahadi ya zile bikira kule peponi.Ila roho za mauti zinanguvu sana kumbe! imagine yani mtu unawashwa tu kutaka kufakufa.
Mbona wewe umejifungia huko Canada?! Au Canada sio miongoni mwa nchi za magharibi.Tatizo lao kukataa umagharibi na kulinda thamani ya mwanamke? Au vipi?
Wewe unaona raha kuwa kama Tanzania ilivyo sasa? Hakuna maadili hata kidogo, pengine hapo ulipo kila mwanamme anayeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko!
Kama si tatizo hilo ni nini?
Israel anajua kuongea lugha moja na magaidi. Iwe Palestine, Yemen, Lebanon, Iraq, Iran ukiingia anga zake anakubamizaVita zao hao jamaa huwa haziishi.
Usiombee ukachokozana nao hao huwa hawamalizagi ugomvi.
Israel sawa yake Gaza ama Palestina hao hapana aisee hawafai.
Ukivaa kimini na kichwa kikiwa wazi mwili unapata hewa, viungo vinapumua huku unapata vitamin D. Ukivaa jeans kama wowowo lipo Mashallah.Mateso zaidi ya dada zako kutembea nusu uchi na kujiuza kona bar?
Interesting thing is Afghanistan chini ya Taliban itakuja kuwa Adui wa Iran na Watapigana vita kwa kutumia Silaha za Marekani.Irani akawachukue
ZilipendwaTatizo lao kukataa umagharibi na kulinda thamani ya mwanamke? Au vipi?
Wewe unaona raha kuwa kama Tanzania ilivyo sasa? Hakuna maadili hata kidogo, pengine hapo ulipo kila mwanamme anayeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko!
Kama si tatizo hilo ni nini?
85% ya Washia wote Duniani wanaishi Iran, kidogo Iraq na Lebanon.Hivi taleban ni washia au Sunni?
IranHawa wamepakana na nchi gani kwani?
Maendeleo yapi au ya kuoana jinsia moja na kuoana na wanyama na kuabudu shetani?Kwao maendeleo sio kipaumbele kabisa
Wamechoka kuandika Barua za utambulisho na Kujaza formu za leseni za biasharaš¤£š¤£Jamaa wamezoea kulipukiwa na mabomu halafu wanawapa kazi za kudeal na makaratasi ofisini. Wanaona ni kazi ya uduanzi hiyo..
Lazima watatafuta adui wa kupigana naye walau wachangamshe mwili.
Kufa ni mara moja.Ila roho za mauti zinanguvu sana kumbe! imagine yani mtu unawashwa tu kutaka kufakufa.
Msimamo wa nyuma ya key boardWanaume wenye msimamo wa talebani tujuane Kwa likes