Taliban wadai Wamechoka kukaa ofisini wanataka kupigana vita😅

Taliban wadai Wamechoka kukaa ofisini wanataka kupigana vita😅

Warushe bomu Israel, Israel wakianza kujibu mapigo watatoka humo ofisin
Vita zao hao jamaa huwa haziishi.
Usiombee ukachokozana nao hao huwa hawamalizagi ugomvi.
Israel sawa yake Gaza ama Palestina hao hapana aisee hawafai.
 
Najua watalebani vita ndio mchezo wanaoupenda ili hii tweet wahuni wamewalisha maneno ,wazee misinfomesheni
 
Hawa jamaa si walisha anza kuchapana na palestina mpakani
 
Hahah! Wanaona wanachelewa kwenda kwenye mito ya pombe na mabikra.
Labda mito ya Paulo inashukia kwenye njia panda ya Damascus na Jerusalem afu pembeni yake kuna mti unaitwa kimvuli cha shetan alicho lala Paulo.
 
Yani hawa wavaa kanzu wana matatizo sana
Tatizo lao kukataa umagharibi na kulinda thamani ya mwanamke? Au vipi?

Wewe unaona raha kuwa kama Tanzania ilivyo sasa? Hakuna maadili hata kidogo, pengine hapo ulipo kila mwanamme anayeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko!

Kama si tatizo hilo ni nini?
 
Back
Top Bottom