Nakushauri ufanye shughuli zingine.unapoteza caloriesKwahiyo kwa akili hizi Wajapan nao ni waarabu kisa ni wa Asia?
Acha kujiaibisha wewe,Afghanistan sio waarabu ficha ujinga wako kwa kukaa kimya.
Pakistan, Iran, na China!Nani anayewapa Taliban silaha ni haohao marekani na washirika wake Marekani huwa hawana urafiki wa kudumu
Watamkumbuka sana TrumpAibu sana kwa Marekani!
Rais Biden hata haelewi anachokifanya.
Kale kazee katakufa kwa preshaAibu sana kwa Marekani!
Rais Biden hata haelewi anachokifanya.
Lazima tujue ni masilahi gani hayo na Ni Nani??Taleban walikua wanafadhiliwa na marekani na wamarekani kuna sehemu anaweza kufadhili waasi na serikali ili afaidike baaadae sasa ili kuelewa haya mambo inabidi usiwe shabiki wa upande wowote na kuelewa jinsi mashirika ya kijajsusi duniani yanavofanya kazi ya kuvuruga amani ya dunia kwa maslahi yao inabidi uwe na uelewa wa hali ya juu
Aibu ya nn sasa vita ya Afghanistan hailipi alichokuwa anakitafuta alishakipa ndo maana ameamua kuondoka jeshi jiulize mbona Iraq haondoki pamoja na serikali kuomba waondoke... USA sio mjinga kama unavyofikiria ni swala la mahesabu tu....Aibu sana kwa Marekani!
Rais Biden hata haelewi anachokifanya.
Acha kujifanya unajua kuliko USA ushashiba makande yako unaongea ongea ujinga unafikir USA hajui anachofanya ila wewe wa mbezi Luis ndo unajua?Mpango gani sasa huo ambao Wamarekani wametumia zaidi ya dola trilioni 2, maelfu ya askari wao kupoteza maisha katika kuwaondoa Taliban, halafu mwisho wa siku Taliban hao hao ndo wanarudi madarakani??
Huo utakuwa ni mpango wa kipumbavu kabisa kuwahi tokea hapa duniani.
Marekani ina watu wasio na makazi [homeless] wengi sana.
Hizo dola trilioni 2 na ushee zingefaa kutumika kuwasaidia hao wasio na makazi kuliko kwenda kuziunguza huko Afghanistan.
Kilele cha upumbavu.

Tofauti ni ndogo sana,ni Sawa na kusema Mrusi sio mzungu(Anglo-Saxon)Kuna hawa watu
Wairani
Wapakistani
Waafghanistani
Waturuki
Wasomali
Watu wanawafikiria kuwa ni waarabu
Ila sio
Serrikali ya Trump na Pompeo ndio waliofanya makubaliono na kiongozi wa magaidi wa Taliban kuondoka Afghanistan na mpango wa Trump ilikuwa kuondoa majeshi mwezi May, Biden ameuchelewesha tu kwa miezi mitatu.Aibu sana kwa Marekani!
Rais Biden hata haelewi anachokifanya.
Hakuna Race ya wa- Asia duniani. Asia ina watu Tofauti sana. Wachina, Waarabu, Wahindi, Waturuki, Washirazi, Wazungu wa Ki-slavs, Wajapan n.k wote wako Asia ila ni jamii tofauti sana kati ya mmoja na mwinginekwa lugha moja mashirazi ni waarabu, unajua wakatoliki, wa-TAG-, Walutheri, wa anglikan wote ni WAKRISTO , ndivyo ilivyo kwa wa-afghanstan ni WAARABU.
duniani sisi tunatambua ,
1. WAZUNGU.
2. WAAFRIKA
3. WAARABU
4. WA-ASIA.
sawa.Hakuna Race ya wa- Asia duniani. Asia ina watu Tofauti sana. Wachina, Waarabu, Wahindi, Waturuki, Washirazi, Wazungu wa Ki-slavs, Wajapan n.k wote wako Asia ila ni jamii tofauti sana kati ya mmoja na mwingine
Kwa hiyo ni wahindi,waafrika au wadhunguKuna hawa watu
Wairani
Wapakistani
Waafghanistani
Waturuki
Wasomali
Watu wanawafikiria kuwa ni waarabu
Ila sio
Haijalishi!Serrikali ya Trump na Pompeo ndio waliofanya makubaliono na kiongozi wa magaidi wa Taliban kuondoka Afghanistan na mpango wa Trump ilikuwa kuondoa majeshi mwezi May, Biden ameuchelewesha tu kwa miezi mitatu.
Pamoja na marekani kuwa na homeless wengi,Marekani huchangia 55% ya mashirika mbalimbali ya umoja wa mataifa karibu dola trilion 1.5. Kwanini isingetumia hiyo pesa kuwajengea nyumba watu wake. Endelea kushangaa na hilo.Mpango gani sasa huo ambao Wamarekani wametumia zaidi ya dola trilioni 2, maelfu ya askari wao kupoteza maisha katika kuwaondoa Taliban, halafu mwisho wa siku Taliban hao hao ndo wanarudi madarakani??
Huo utakuwa ni mpango wa kipumbavu kabisa kuwahi tokea hapa duniani.
Marekani ina watu wasio na makazi [homeless] wengi sana.
Hizo dola trilioni 2 na ushee zingefaa kutumika kuwasaidia hao wasio na makazi kuliko kwenda kuziunguza huko Afghanistan.
Kilele cha upumbavu.
Of course! Nitaendelea kushangaa sana tu.Pamoja na marekani kuwa na homeless wengi,Marekani huchangia 55% ya mashirika mbalimbali ya umoja wa mataifa karibu dola trilion 1.5. Kwanini isingetumia hiyo pesa kuwajengea nyumba watu wake. Endelea kushangaa na hilo.