Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
A timeline of the US withdrawal and Taliban recapture of Afghanistan
From the Soviets to the Americans to the Taliban, a look at Afghanistan's recent history. The U.S. aims to exit its 20-year presence by Aug. 31.www.usatoday.com Biden Delivers on Trump’s Afghan Exit as the Taliban Surges
Donald Trump made the politically popular pledge to bring U.S. troops home from the nation’s longest war. Now Joe Biden is delivering on the promise -- and reaping growing criticism over the grim results that are unfolding in Afghanistan.www.bloomberg.com
Kuna hawa watu
Wairani
Wapakistani
Waafghanistani
Waturuki
Wasomali
Watu wanawafikiria kuwa ni waarabu
Ila sio
Hii ishu huwa inanipa shida Sana, ukimchukua mchina, mzungu na mwafrika mweusi unawezakuwatofautisha kwa rangi, maumbo na nywele zao. Lakini vipi ukimchukua muiran na msaudia unawezaje kuwatofautisha? Kuitwa muarabu ni kwa ajili ya lugha yako ya taifa ni kiarabu au muonekano?Washirazi ni waajemi aka Persians ambao ndio wairani
Nao wanajijua kuwa sio waarabu
Ila watu wanapenda kuwapaka uarabu wasio nao
Capping hard for Sleepy Joe!Trump’s New Big Lie: Afghanistan
Biden has handled the withdrawal very badly. That doesn’t mean Trump would have done better.slate.com
Nchi nyingi zinazoishia na Stan ni jamii ya Wahindi mchanganyiko!Wa afghanistani sio waarabu jamani
Hebu google nchi za waarabu ni zipi wa afghanistani sio waarabu
Umesahau Nepal na BangladeshKuna hawa watu
Wairani
Wapakistani
Waafghanistani
Waturuki
Wasomali
Watu wanawafikiria kuwa ni waarabu
Ila sio
Jamii za wahindiNi wa shiraz; si wazungu ni waarabu lakini.
Chief hapa unatoa bokokwa lugha moja mashirazi ni waarabu, unajua wakatoliki, wa-TAG-, Walutheri, wa anglikan wote ni WAKRISTO , ndivyo ilivyo kwa wa-afghanstan ni WAARABU.
duniani sisi tunatambua ,
1. WAZUNGU.
2. WAAFRIKA
3. WAARABU
4. WA-ASIA.
Hebu jaribu kuona vipi 'seven sisters - oil magnates' wanacontrol dunia hasa katika maeneo hayo.Lazima tujue ni masilahi gani hayo na Ni Nani??
Kwa uhakika walikuwepo hata kabla ya Osama. Waliwapa mafunzo akina Osama ili wawaondoe Warusi, Warusi walipoondoka wakamgeukia Osama naye wakamtimua pamoja na Mulla Abbas. Sasa wameondoka wanaona hakuna tena maslahi labda mafuta yamekwisha katika eneo na makampuni yao yameanza kuhama.msiseme wameteka, semeni kuwa wameachiwa baada ya kuichakaza nchi yao na kutoonekana kama kuna maslahi tena ya marekani na wamagharibi. jueni westerners walienda kule tangu enzi za osama bin laden nafikiri na walikuwa wanahofu wataondokaje baada ya kutimiza malengo yao. taliban wakichukua nchi au wasichukue Marekani wanaathirika vipi kwa sasa?
Iranians ni Waajemi (siyo Washirazi, Shirazi ni mji tu katika nchi ya Iran) na lugha yao siyo kiarabu ni tafauti.Hii ishu huwa inanipa shida Sana, ukimchukua mchina, mzungu na mwafrika mweusi unawezakuwatofautisha kwa rangi, maumbo na nywele zao. Lakini vipi ukimchukua muiran na msaudia unawezaje kuwatofautisha? Kuitwa muarabu ni kwa ajili ya lugha yako ya taifa ni kiarabu au muonekano?
Sheria na siasa tupo mbali kidogo, ila tunaelimisha na wengine,Waarabu hasa Arab League wamekaa kimya, moja labda wanafurahia ama hawafutrahii ila hawana uwezo wa kuikomboa Afganstan.Chief hapa unatoa boko
Tunatambua
1. Waafrika
2. Wazungu (Europe)(Skandinavia)
3. Wamarekani
4. Asians (Waarabu, Wahindi, Wachina, Waajemi, Wajapan, Phillipines) Na Waturuki japo wao wamejisogeza kwenye Europe.
historia ya Shule ya vidudu tuliambiwa washirazi walikuja pwani ya Afrika mashariki, ni wapi hao?Iranians ni Waajemi (siyo Washirazi, Shirazi ni mji tu katika nchi ya Iran) na lugha yao siyo kiarabu ni tafauti.
Isikupe shida... hao wote syllabus yao Moja.. kitabu chao kimoja, utamaduni wao mmoja Lugha yao ni Moja ila 8na lafudhi na lahajz mbalimbali...Hii ishu huwa inanipa shida Sana, ukimchukua mchina, mzungu na mwafrika mweusi unawezakuwatofautisha kwa rangi, maumbo na nywele zao. Lakini vipi ukimchukua muiran na msaudia unawezaje kuwatofautisha? Kuitwa muarabu ni kwa ajili ya lugha yako ya taifa ni kiarabu au muonekano?
Anajaribu kukipulizia manukato kinyesi.🤣🤣Unazidi kuonesha ujinga wako hadharani. Nakushauri unyamaze.
Acha ushamba na ujinga wewe!ni wazungu?
Iranians ni Waajemi (siyo Washirazi, Shirazi ni mji tu katika nchi ya Iran) na lugha yao siyo kiarabu ni tafauti.
Anataka dunia ione uZuri Na utamu wa Dini ya amaniAibu sana kwa Marekani!
Rais Biden hata haelewi anachokifanya.
Mkonongo eeh, wewe ulitakaje?Aibu sana kwa Marekani!
Rais Biden hata haelewi anachokifanya.