Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni mchanganyiko wa Waajemi na Wamedi na wana mchanganyiko kidogo na watu wa Pakistan. wala usichanganye lost tribes na hao jamaa. kitu pekee kinachofurahisha ni kwamba, tangu enzi za Babeli hadi leo, Wayahudi pamoja na kuchangamana na wanadamu wengine, wamehifadhi identity yao na wanajuana wao kwa wao, wote. na wamehifadhi hadi dini yao hadi leo. ukienda taifa lolote they know each other na wanasaidiana wao kwa wao, jaribu kutafiti maana ya lost tribes of israel utaelewa, sio hao. hao ndio waliowatumikisha sana waisrael enzi hizo, pamoja na watu wa iran na iraq.Taleban wengi ni Kabila la Pashtun na asili yao kubwa yassmekana imetokea middle east yasemekana ni one of tribe ya 12 lost tribes of Israel.. hawatoweza kuangamia and one day watarejea Kuungana na ndugu zao
Msomali ni muafrica pureKuna hawa watu
Wairani
Wapakistani
Waafghanistani
Waturuki
Wasomali
Watu wanawafikiria kuwa ni waarabu
Ila sio
Yaani ni hivi: huwezi kuwaita Iranians wote kuwa ni Washirazi, they are more than that! Ni sawa na kusema Wazanzibari wote ni wa Unguja au Wakenya wote ni Wamombasa.....Hapa nimeshindwa kukuelewa!
Wazanzibar ni Waunguja (siyo Wapemba, Pemba ni kisiwa tu katika Zanzibar) na lugha yao siyo kiunguja ni tofauti.
Iraki ameshaanza kuondoka kwa sababu anashambuliwa sana na plani yake aondoke ameshatangazaAibu ya nn sasa vita ya Afghanistan hailipi alichokuwa anakitafuta alishakipa ndo maana ameamua kuondoka jeshi jiulize mbona Iraq haondoki pamoja na serikali kuomba waondoke... USA sio mjinga kama unavyofikiria ni swala la mahesabu tu....
Je nikisema Waunguja na Wapemba ndio Wazanzibari nitakuwa nimekosea? Je vipi nikisema Washirazi wote ni Waajemi lakini Waajemi wote sio washirazi?Yaani ni hivi: huwezi kuwaita Iranians wote kuwa ni Washirazi, they are more than that! Ni sawa na kusema Wazanzibari wote ni wa Unguja au Wakenya wote ni Wamombasa.....
Mimi nimefahamu tangu hapo awali muheshimiwa. Kiswahili ni lugha yangu ya asili sina nyengineJe nikisema Waunguja na Wapemba ndio Wazanzibari nitakuwa nimekosea? Je vipi nikisema Washirazi wote ni Waajemi lakini Waajemi wote sio washirazi?
Ok sasa iko hivi Washirazi ni Waajemi na ndio waliotoka huko Shirazi (ndani ya Uajemi - Persians) kuja kuishi katika mwambao wa bahari ya hindi. Sijui tumeelewana?
Wameitwa washirazi kutokana na kuwa wametokea katika eneo la Shirazi.
Ni sawa na Bara Wazanzibari wanaotokea Pemba wanajulikana kama Wapemba lakini pia ni Wazanzibari.
Basi pia elewa Waunguja na Wapemba ndio Wazanzibar, Waunguja ni Wazanzibari na Wapemba ni Wazanzibari lakini Wapemba sio Waunguja na wala Waunguja sio Wapemba.Mimi nimefahamu tangu hapo awali muheshimiwa. Kiswahili ni lugha yangu ya asili sina nyengine