Ni ngumu sana kujua wanakuwazia nini hawa jamaa.nadhani usa waliwaachia taliban nchi kimkakati na makubaliano fulani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu sana kujua wanakuwazia nini hawa jamaa.nadhani usa waliwaachia taliban nchi kimkakati na makubaliano fulani
Niliwahi kusema humu, China kufika hapo ni US ndo amefanya China awe hapo kiuchumi.60% ya export yoote ya China goes to America and west na china anatambua kwamba US ni button ingine, angalia mfano mdogo tu wakati wa msuguano wa kibiashara china walitaka kufanya 5G installation mkwara mmoja huwaei ilikufa mpaka leo na project yoote dunian ilisimamia pale: Russia kwanza kwenye suala la uchum US hana habari nayo anajua ni mzaha
Acha mzaha basi, yaani Iran na Taliban isababishe WW?
Tena Iran ajiangalie Sana , Taliban hii sio ile Taliban ya wavaa kobaz na kutembea na Kalashnikov tu ,kuna silaha nzito za kimarekani wanazo ,Persia atapasuliwa na hawa wafuga ndevu hamtaamini kinachompata
huawei haijafa na nchi tu zinatumia mitambo ya huawei ya 5G, kutokana ni gharama nafuu,bali walivyopigwa sanctions na marekani walipunguza uzalishaji wa simu, kwa taarifa yako huawei alilkujana operating system yake60% ya export yoote ya China goes to America and west na china anatambua kwamba US ni button ingine, angalia mfano mdogo tu wakati wa msuguano wa kibiashara china walitaka kufanya 5G installation mkwara mmoja huwaei ilikufa mpaka leo na project yoote dunian ilisimamia pale: Russia kwanza kwenye suala la uchum US hana habari nayo anajua ni mzaha
Habari za kubumbaChanzo cha taarifa yako!?
Naona umekula maharage ama makande umeshiba.Iran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo
Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
Huu uongo mnautoaga wapi???60% ya export yoote ya China goes to America and west na china anatambua kwamba US ni button ingine, angalia mfano mdogo tu wakati wa msuguano wa kibiashara china walitaka kufanya 5G installation mkwara mmoja huwaei ilikufa mpaka leo na project yoote dunian ilisimamia pale: Russia kwanza kwenye suala la uchum US hana habari nayo anajua ni mzaha
Niliwahi kusema humu, China kufika hapo ni US ndo amefanya China awe hapo kiuchumi.
Na amepiga karata moja vizuri saana, maana hapa walipofikia. China anamuona US na allies wake ni kama roho yake.