Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah USA ni hatariiii na nusu akili kubwa sana ile ana wa keep busy wengine yeye anakua supplier wa silahaMarekan aliondoka kwa makubaliano na Taliban na ndio maana mpaka ndege ya mwisho inaondoka Kabul inapigiwa makofi na Taliban, sasa US wameona kiherehere cha Iran na drones zake russia wameona isiwe shida wacha waiweke Tehran busy, huku Russia na Zele, kule China na Taiwan, Huku Iran na Teleban baba yeye anarudi kwenye nafasi yake ile ile ya vita ya pili kutoa silaha na chakula kwa mikopo baadae alipwe double lini atashuka kwenye nafasi ya u super power na anatumia akili
Hii habarii nimeioma jana aljazeera ila hawakusema wametaka eneow walisems mapigano baina ta pande mbili yanaendelea
wataliban wamechukua mpaka post ya iran watu watatu wamekufa ...we unasema ni ugomvi wa kenya na uganda?Hii video haithibitishi kuwa ndio kilichotokea hivi karibuni .
Source Tiktok ni kweli mtu kuamini asilimia zote ?
Umefanya research kabla ya kukosoa cha walipfuatilia ? Hiyo ndo hoja yang elimu yako iwe ufunguo wako sio kifungo chakoIwe na source kama CNN ,BBC na Aljazeera sasa video ya Tiktok inaonyesha vifaru na wanajeshi huku ikiwa na maneno kuwa nchi fulani inavamia nchi fulani ni ya kuamini kwa mtu mwenye akili timamu ?
Video hiyo hiyo mimi ninaweza kufuta hayo maneno nikaweka kuwa Turkmenistan jeshi lake linavamia Armenia utaamini nayo ?
Tiktok inajulikana kuwa ni site ya vijana wa hovyo kivipi unafosi iwe chanzo cha kuaminika ?
Research ni taarifa ya Aljazeera haikusema tension umefikia levo hiyo ya vifaru kukimbizana kama vita kubwa .Umefanya research kabla ya kukosoa cha walipfuatilia ? Hiyo ndo hoja yang elimu yako iwe ufunguo wako sio kifungo chako
Taliban ndio walianza kuwashambulia wlainzi wa mpaka wa Iran hiyo jumamosi na kuua walinzi 3 na ndipo wakanza shambuliana. Ni mashambulizi ya mpakani na chanzo ni chanzo cha maji kila mmoja anadai cha kwake.wataliban wamechukua mpaka post ya iran watu watatu wamekufa ...we unasema ni ugomvi wa kenya na uganda?
Pale as mbapo Marekani anakuwa Rafiki wa Taliban
Maneno yao yatakuwa ya kweli ikiwa talibani wataendeleza uhasama na USA, tofauti na hapo kutakuwa na siriSi huwa mnasema Marekani alishindwa ile vita
Nakukumbusha tu Huawei ni kampuni kubwa sana biashara zake nyingi zilizuiliwa ulaya na Australia ila bado inafanya kazi nchi nyingi za Asia na Africa ukianza na sisi apa Tanzania, huawei hawakuwa kwenye simu tu au installation ya mitambo ya 5G ila juzi wamezindua magari yao ya umeme wakishirikiana na kampuni nyingine ya China na tayari wametoa toleo lao la cm p60 saivi wamewekeza kwenye A.I shida ni wajinga kama nyie mnaona huawei imefeli hamfatilii vitu ila kuongelea mambo kishabiki kama waimba taarabu
Kabisa. Mimi nilishangaa USA awaachie nchi Taliban kirahis rahis. Unakuta hata askari wa USA wanafanya kazi na Talibannadhani usa waliwaachia taliban nchi kimkakati na makubaliano fulani
Tulia wewe kwanza source yako ya Al-Jazeera haina mbwembwe nyingi kama ndugu yako alizoleta hapa.
Taarifa hiyo hiyo ya aljazeera ikipostiwa tik tok inageuka kuwa ya uongo ?Research ni taarifa ya Aljazeera haikusema tension umefikia levo hiyo ya vifaru kukimbizana kama vita kubwa .
Ndyo maana nakwambia usichokijua usikimbilie kukiandika kishabiki shida mnaweka mapenzi mbele kuliko uhalisia.Huelewi kinachoendelea ndio maana unasema wameingia mkataba na china kana kwamba Huawei inatoka waapi? Speed waliokuwa nayo iko waapi? Unajua nchi ngapi walikuwa wasa sign installation ya 5G? Unajua ukwasi kias gan angeingiza kama first installer wa hii tech? Baada ya mkwala walikosa mpaka chip pro, mpaka bank yao ya kichina ambayo walikuwa na contract nayo waliwaambia kabisa hatuwez shirikiana manake hatutak mzozano na uncle sam leta facts acha mambo ya mihemuko
Magufuri ndio Nani mbele ya vidume vya dunia?Mbona kipindi cha MAGUFULI dunia ilipoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vle tu amefariki wanaleta jeuri
Inaanzaga mdogomdogoIlikuwa talban vs polisi wa iran mpaka inafika jana iran jesh la polisi la iran lilikomboa eneo lote na kujibebea hamvee 10 ambazo talbani waliziacha kufikia leo iran imepoteza askari 3 talban imepoteza askari 20 .talbani hawawez kusimama na iran kumbuka ndani ya afghanistan kuna jamii za madhehebu ya shia iran inauwezo wa kuunda kundi la wapiganaji kupitia madhehebu hayo na afghanistan pasikalike kama yemen
Ulikuwa unaangalia wkt wanaondoka au ulisimuliwa?Unajifariji!..makubaliano maalum ndo wakimbie vile!!?..Iran na Taliban huwa haziivi tu,hii ni kabla ya Sept 11..huo mgogoro hapo ni WA maji
Uliangalia peke yako?..ilikua exclusive kwako tu!?.. marekani anaweza muachia Taliban silaha na nyenzo za usafiri!?..kule ni kukomboa,rais wa Afghanistan ghafla tu alidandia chopper na kusepa,wanajeshi wa Afghanistan walikua wakikimbia na kuvua gwanda,urusi naye alikimbia hivyohivyo akaacha silahaUlikuwa unaangalia wkt wanaondoka au ulisimuliwa?
Sisi tulioangalia usa hakukimbia Tena walibebewa na mabegi kabisa na Taliban na kusindikizwa mpaka airport.
Taliban kuachiwa nchi ni mpango mkakati ule na matokeo yameshaanza kuonekana.
Sirah alizoacha usa kule Afghanistan sio silaha complex kiasi Cha kumuwazisha lkn pia ujue hata silaha hizo kuachwa pale ni mkakati tu.Uliangalia peke yako?..ilikua exclusive kwako tu!?.. marekani anaweza muachia Taliban silaha na nyenzo za usafiri!?..kule ni kukomboa,rais wa Afghanistan ghafla tu alidandia chopper na kusepa,wanajeshi wa Afghanistan walikua wakikimbia na kuvua gwanda,urusi naye alikimbia hivyohivyo akaacha silaha
Hahahaaaaaa poleSirah alizoacha usa kule Afghanistan sio silaha complex kiasi Cha kumuwazisha lkn pia ujue hata silaha hizo kuachwa pale ni mkakati tu.
Talibani Ni ma agent tu wa cia