PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ukiwaza kwa chuki utaamini jamaa wanaenda kudondoka kesho, wakati ni kinyume chake.Huwa nawaambia hapa Bet against Uncle Sam at your own risk , acheni kabisa lile taifa , Marekani thinks 1000 years ahead of every godamn fool
Yaani serious kabisa watu wanaamini China atamuangusha US, hata hawafikirii mara mbili kuhusu kilichomfikisha China pale alipo! Wanafikiri kafika tu kwa kuamua, China naye kalewa sifa.
Ngoja uone atakavyolambishwa sakafu.
Watu wanabaki kuimba nyimbo za BRICS, ambayo kabla hata haijaanza lolote tayari South Africa amewashiwa taa nyekundu, annaanza kujishika magoti kabla hata ya kuanza kutembea, let alone mbio Russia naye ndiye huyo.
India amekua na kujitanua strategically kwa mchoro uliochorwa na CIA. Halafu watu wanatupigia kelele tu hapa.