Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

nadhani usa waliwaachia taliban nchi kimkakati na makubaliano fulani
Watu ni vile wamekuwa wwpesi kusahau. Marekani kabla hajaondokana Afghanistan walikaa na Taliban kwanza na kuna mambo wakikubaliana.
Nakumbuka kikao hicho kilifanyika chini ya utawala wa Trump, ambapo nakumbuka ilisemwa inaangaliwa namna watakavyoondoka ma jinsi Taleban watakavyotawala.

Fikiria, anayetawala Afghanistan ni mwingine, lakini US anakaa na mwingine kujadili namna ya kuondoka na huyo kiongozi wa Taleban nadhani alikutana na Trump katika ziara ya Trump huko Qatar or Saud.

Ilivyokuwa inaripotiwa kuwa US amekimbia Afghanistan, binafsi sikuwahi kuchangia maana kwa kumbukumbu zangu ilikataa kuwa amekimbia huku akiwaachia vifaa vya kisasa kwa madai ya kushindwa kuvihamisha sababu ya muda, yaani unawahi kukimbia unaacha hadi ndege za kisasa za kivita?
Hii mimi ilikataa kuingia akilini nikachagua kuwa kimya tu.
 
60% ya export yoote ya China goes to America and west na china anatambua kwamba US ni button ingine, angalia mfano mdogo tu wakati wa msuguano wa kibiashara china walitaka kufanya 5G installation mkwara mmoja huwaei ilikufa mpaka leo na project yoote dunian ilisimamia pale: Russia kwanza kwenye suala la uchum US hana habari nayo anajua ni mzaha
Hawataki kuliona hilo. Kifo cha HUAWEI China mpaka leo analilia bafuni kila akienda kuoga.
 
Hawataki kuliona hilo. Kifo cha HUAWEI China mpaka leo analilia bafuni kila akienda kuoga.

Mkwara mmoja tu tena wa mdomo pale Washinton mpaka leo Kariakoo Huwaei hakuna, nakumbuka saana mzee DT aliulizwa na mwandishi wa Fox News kwamba US itafanyaje endapo China itakaidi? Jibu la kiburi alilotoa alisema “wev gat all option on the table, its up to them to choose whether they are with us or not’ fikiria sana hili jawabu, mkwala ule uliopigwa Beijing ulipelekea mpaka nchi ambazo zilikuwa zilishaanza mradi wa 5G installation kuvunja mikataba na China na kukunja mikono
 
nadhani usa waliwaachia taliban nchi kimkakati na makubaliano fulani

Umewaza kama mie.. Maana ghafla baada ya miaka kibao eti marekan ndan ya mwez mmoja tu kaondoka bila masharti na wakijua Taliban wapo.. nahs Marekan alitaka kutafuta njia ya kuangusha utawala wa Iran.. rejea vita ya iraq mmarekan kajifanya kumtetea quwait ili atafute kisingizio..

Huko afga kaondoka kawaachia vifaa vya kisasa Taliban
 
Iran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo

Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
Hii habarii nimeioma jana aljazeera ila hawakusema wametaka eneo walisema mapigano baina ya pande mbili yanaendelea mpakani na chanzo wanagombea chanzo cha maji na taliban ndiye alianzisha mashambulizi
 
Mataleban wazuri sana kwenye kujilipua mabomu ili wakawahi mabikira, sasa hapo ukiwaza nalo kubwa la magaidi ni Iran .....te te te aisei wasikawie kuamsha amsha.
 
Watu ni vile wamekuwa wwpesi kusahau. Marekani kabla hajaondokana Afghanistan walikaa na Taliban kwanza na kuna mambo wakikubaliana.
Nakumbuka kikao hicho kilifanyika chini ya utawala wa Trump, ambapo nakumbuka ilisemwa inaangaliwa namna watakavyoondoka ma jinsi Taleban watakavyotawala.

Fikiria, anayetawala Afghanistan ni mwingine, lakini US anakaa na mwingine kujadili namna ya kuondoka na huyo kiongozi wa Taleban nadhani alikutana na Trump katika ziara ya Trump huko Qatar or Saud.

Ilivyokuwa inaripotiwa kuwa US amekimbia Afghanistan, binafsi sikuwahi kuchangia maana kwa kumbukumbu zangu ilikataa kuwa amekimbia huku akiwaachia vifaa vya kisasa kwa madai ya kushindwa kuvihamisha sababu ya muda, yaani unawahi kukimbia unaacha hadi ndege za kisasa za kivita?
Hii mimi ilikataa kuingia akilini nikachagua kuwa kimya tu.
Huwa nawaambia hapa Bet against Uncle Sam at your own risk , acheni kabisa lile taifa , Marekani thinks 1000 years ahead of every godamn fool
 
Ilikuwa talban vs polisi wa iran mpaka inafika jana iran jesh la polisi la iran lilikomboa eneo lote na kujibebea hamvee 10 ambazo talbani waliziacha kufikia leo iran imepoteza askari 3 talban imepoteza askari 20 .talbani hawawez kusimama na iran kumbuka ndani ya afghanistan kuna jamii za madhehebu ya shia iran inauwezo wa kuunda kundi la wapiganaji kupitia madhehebu hayo na afghanistan pasikalike kama yemen
 
Back
Top Bottom