Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

Niliwahi kusema humu, China kufika hapo ni US ndo amefanya China awe hapo kiuchumi.

Na amepiga karata moja vizuri saana, maana hapa walipofikia. China anamuona US na allies wake ni kama roho yake.
 
huawei haijafa na nchi tu zinatumia mitambo ya huawei ya 5G, kutokana ni gharama nafuu,bali walivyopigwa sanctions na marekani walipunguza uzalishaji wa simu, kwa taarifa yako huawei alilkujana operating system yake
 
Iran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo

Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
Naona umekula maharage ama makande umeshiba.
TALIBAN WANAHANGAIKA NA MAGAIDI WA NDANI YA NCHI,UMASKINI,NJAA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA,HUO UWEZO WA KUIVAMIA IRAN WATOE WAPI??
NATIZAMA ALJAZEERA KILA SIKU SIJAONA HABARI TALIBAN AKIVAMIA IRAN ILA NAONA AFGHANISTAN IKILIPUKA KWA SUICIDE BOMBS,UTEKAJI NA NJAA.
PUNGUZA UONGO HAKUNA WATOTO WENZAKO HUMU.
 
Huu uongo mnautoaga wapi???
Kipindi cha trade war kati ya China na USA ilitokea wakati wa Trump na Huawei haijafa Bali ilishuka kisoko na mbaya zaidi Huawei inashuka soko OPPO,XIAOMI na VIVO zinakuja juu still utakuja kuona China ktk biashara ya simu yupo juu zaidi.
Simu zinazoongoza kimauzo in ascending order ni Samsung, iphone,OPPO,Xiaomi,vivo,Huawei.
Ukitizama hapo simu ya 3-6 zote za mchina na sio tu simu za mchezo Bali ni simu bora.
Pia katika trade war Trump alifanya USA economic growth rate ishuke mpk wataalam wake wa uchumi walimuonya afanye negotiation na China km Obama alivyofanya asishindane nao China ni mfupa mgumu.
WEWE MSWAHILI WA TANZANIA UNASHADADIA CHINA NI MDOGO KWA USA ILHALI USA WENYEWE WANAMUONA CHINA KUWA TISHIO.
WATANZANIA ACHENI KUENDESHWA KWA KASUMBA.

Niliwahi kusema humu, China kufika hapo ni US ndo amefanya China awe hapo kiuchumi.

Na amepiga karata moja vizuri saana, maana hapa walipofikia. China anamuona US na allies wake ni kama roho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…