Hawa wataliban wanaocheza na hivi vigari wanaendana kinyume kabisa na Taliban asili. Kwasababu Taliban hata kusikiliza mziki na kucheza ni marufuku unachinjwa. Hii Taliban ya sasa ni tofauti ndo maana wanataka diplomasia na mataifa mengine na China na Urusi imefungua mlango. Hii ni Taliban tofauti na ya akina Mullah Omar Muhammad.
ENJOY WHILE THE ELECTRICITY LASTS!