Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

Vizur boss

Ndio maana nilitaka kupata maoni yako juu ya uelewa wa uchi

Sasa katika imani ya kiislamu uchi ni mwili mzima wa mwanamke kasoro uso na viganja vya mikono,lkn haimaanishi kuziba kwa nguo maeneo hayo bali kuvaa nguo ambazo zitafucha maungo au maumbile ya mwanamke kwa maana nguo hizo zisimbane na kuonyesha umbile lake

Na hii kuna uelewa mbaya hata kwa wanawake wa kiislamu,unawakuta wamevaa mtandio huku kavaa suruali imembana au kipedo,huku unajiuliza hv huyu anajua maana ya kujistiri kisheria?

Wanaona wamejistiri kumbe wapo uchì
 
Ngono ndiyo agenda yao hakuna lolote, mazee mazima yamefunga mindevu mpaka tumboni halafu yakiona mkono wa mwanamke yanadindisha. . Taliban ni wehu kama wehu wengine.
Wale wanaangalia kwa maslahi makubwa ya jamii,nyie ndio mnapenda ngono
 
Na hili kanisa la wenda uchi nalo unatafsiri vipi?

 
Ingekuwa kingono si wangetaka wanawake watembee uchi kama ufaransa na kwengine kote duniani

Think big
Mzee kuna kitu huelewi.

Mimi ni mmoja kati ya watu ambao natamani sana kuona wanawake wanavaa kwa staha na ndivo inavotakiwa, lakini kila kitu kwa kiasi.

Uislamu umefanya kitu ambacho ni kichekesho, eti kwamba mwanamke ndo inabidi afanye jitihada za ku-control hisia za mwanaume, dhana nyingine ya ajabu eti kwamba mwanaume akimtamani mwanamke ni kosa la mwanamke kutojistili vizuri.

A man should be responsible to his own actions.

Kuna sehemu nyeti kweny mwili wa mwanamke, pia hata kweny mwili wa mwanaume, hizo sehemu zinajulikana, na kuna sehemu ambazo ni za kawaida kabisa. Mfano mikono, mtu ambaye akiona mikono ya mwanamke ana sisimka huyo ana matatizo kwasababu mikono sio sehemu sensitive, mfano mwingine ni sura na nywele, sura ni sehemu ya kawaida kabisa wala haina uhusiano na ngono, ukiona wewe unadinda ukiona sura za wanawake ujue wewe ndo una shida na sio mwanamke, that's also goes for nywele, yaan kuna muda nikifikiria nacheka sana, why mwanamke afunike nywele zake, nywele ni sehemu za siri? Nywele ni urembo wa mwanamke na ukiona kwamba nywele za mwanamke zinakutamanisha wewe ndo una matatizo na sio mwanamke.

Kuna wanaume wana sura wazuri, je siku wanawake nao wakisema sura zenu zinatutamanisha na nyie wanaume itabidi mfunike sura sio?? Kwann mnawaza kwa upande wenu tuu?

Kwann wanawake ndo wabebe mizigo yenu kwa kujivika manguo mengi nyie mnashindwa ku-control nyege zenu??

Just think brother you're an individual, usiishie kusema tuu mtume kasema, tumia common sense.

Muslim men should start owning to your own actions.
 
Kwanza pole sana kwa mawazo yako hasi juu ya maono yako hayo

Mungu ndio kasema mwanamke mwili wake wote ni uchi kasoro viganja vya mikono na uso,sasa kama nyinyi hamumuamini mungu na sheria zake ni tatizo lenu na sio.letu

Nikija kwa hoja yako kwamba mwanamke nywele zake ni urembo ni sahihi lkn kwa mume wake na ndugu zake wa karibu ambao hawawezi kuingia katika vishawishi,kwahiyo mapambo y mwanamke ni kwa ajili ya mumewe tu

Sio kwamba wanaume katika uislamu hawajaambiwa kuwa wasijistiri laa,ila stara yao ni kuinamisha macho yao chini wasitazame vya haramu,inatakiwa uangalie mara moja tu na uinamishe macho yako chini,kwa maana mara ya kwanza ni bahati mbaya ila mara ya pili ni umekusudia kuangalia tena,hii husaidoa kuondoa tamaa ya kingono

Hata wanawake pia wameambiwa hivyo hivyo pia ni moja ya stara pia.

Wewe ni mtu mzima ndio maana upo humu,hivi maumbile ya mwanaume na mwanamke yako sawa?

Ikiwa wanawake wenyewe kwa wenyewe tu huwa wana apreciate maumbile ya wanawake wenzao je vp kuhusu wewe mwanaume? Jibu baki nalo
 
Nyie Watanzania maji kwenu shida na mito imejaa na maziwa makubwa yapo kwenu , yanawashinda! Mnarukia ya Afghanistan, yanawahusu nini?
Wewe mbona unazungumzia mabwana zako wa Hamas kila mara humu jamvini wanatuhusu nini?
 
Mungu ndio kasema mwanamke mwili wake wote ni uchi kasoro viganja vya mikono na uso
Kama Allah ndo kasema hivo, bac ndugu yangu sina usemi mwingine, waendelee tuu kujificha mwili mzima.

Nikija kwa hoja yako kwamba mwanamke nywele zake ni urembo ni sahihi lkn kwa mume wake na ndugu zake wa karibu ambao hawawezi kuingia katika vishawishi,kwahiyo mapambo y mwanamke ni kwa ajili ya mumewe tu
That's funny, ujue kwann? Kwasababu nchi za kiislamu ndo nchi zinazoongoza kwa Inbreeding(kuzaliana kweny ukoo)
Kwaio hio dhana ya mwanamke kujiachia ukiwa na ndugu bado imefeli kwasababu mnatunguana ndugu kwa ndugu, hii inamaanisha hata ndugu wanatamani hizo nywele.
 
Iko hivi,wanawake kuongea mbele ya umma sio tatizo ila wajistiri hiyo kisheria,,ila wataliban wao wana itikadi zao zaidi

Sisi hapa kama waislamu wengine wote duniani tunaunga mkono katika kujistiri kwa wanawake period
Kujistiri ni asili kwa binadamu yoyote. Karibu binadamu wote duniani wanaume, Wanawake, watoto.Wamasai wanafuata Mila, Desturi na Utamaduni wao kwa maelfu na maelfu ya miaka wanajistiri. Unaweza kupitiliza sana na kuweka sheria kandamizi kali kama hizi, ndio maana dunia inashangaa.

Kinachojadiliwa hapa ni hizi sheria kufunika hadi macho, masikio, pua na wanawake kutoruhusiwa kuongea mbele ya umma. Kimsingi wanaondolewa ubinadamu wao.

Hivi hao wanaotunga hizo sheria, wangeambiwa waishi kama hao wanawake hata mwezi mmoja wangeweza, wasingekubali. Kupumua, kuona, kusikia shida. Inabidi watumie wanaume kwa niaba yako kuongea na umma kama mtoto mdogo wakati wanaweza kujiwakilisha mwenyewe.
 
Katika uislamu kuna wanawake ambao mwanaume ameruhusiwa kuwaoa na wengine hajaruhusiwa,kuna aya ngoja niitafute nitakurudia inshallah

Hawa wameharamishwa kuwaoa

4:23

Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu

Naleta aya nyingine

4:24

WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima.
 
Ndio maana nikasema dini yako ni dhaifu ama huna dini kabisa hujaleta dalili yoyote kubainisha uchi wa mwanamke, wazo la wazungu uchi wa mwanamke ni kile kinachofunikwa na chupi yake tu labda na matiti,

Ndio mana sasa unakuja na maneno ya mdomo mikono, miguu na uso sio chochote katika uchi wa mwanamke havisababishi kitu chochote katika kuwavuta watu na kusababisha laana katika dunia hii. kama kweli unamuabudu Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Ishaka lete hapa japo mstari mmoja uchi wa mwanamke ni kinachofunikwa na chupi yake tu labda na matiti.

Jambo la kushangaza sana Wasiokuwa waislamu ndio wanaumia zaidi wanawake wa kiislamu wanapotakiwa kujistiri, kwanini unalalmika wewe ilhali wao wako kimya? kama unaamini kwenda uchi ni jambo la kawaida ni imani yako tu iliyokubuhu ujinga
 
Katika uislamu kuna wanawake ambao mwanaume ameruhusiwa kuwaoa na wengine hajaruhusiwa,kuna aya ngoja niitafute nitakurudia inshallah
Mzee wangu alikuwa muislamu, ashawahi kuniambia kitu hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…