Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

Kwanza fahamu kwamba mtu asiye muislam sio lazima awe mkristo. Pili fahamu kwamba hizo nguo ndizo zilizokuwa zinavaliwa enzi hizo kwa sababu hakukuwepo na suruali wala gauni sasa kusema kwamba ni mavazi ya kiarabu ni kukosa uelewa tu na kukariri mambo.
Sasa kama wewe si muislam na huna mfumo wowote wa maisha unaoamini itakuwa ni vigumu sana kuendelea kujadiliana hapa, wewe si mtu unayeamini chochote hivyo unaishi labda kwa matamanio yako tu na pengine unahusudu mavazi ya kizungu.

Na ndio maana unafikiria kwamba nguo zilizovaliwa muda huo ni kutokana na wakati, akili yako inakupa hivyo kwa sababu ww huamini katika uislamu na pengine huna dini kabisa kwa maelezo yako, lakini nikufahamishe vazi la muislamu limetajwa katika kitabu kitukufu Quran na ndivyo waislam wa kweli wanavyo vaa sasa na hata kwa hao waliopita zama hizo, dini ya kiislam ina apply muda wote haipitwi na wakati ata watakaokuja baada ya 200 years.
 
At least wameheoukana na upuuzi wa kuongoza na mwanamke, I'm not appraising male chauvinism but our president is an alive illustration why countries should never dare entrust a woman with a leadership seat.
Kipi cha maana kilichofanywa na viongozi wa nchi hii wanaume toka tupate Uhuru?
 
Wanachokifanya Taliban ni sahihi kabisa kulingana na mafunzo ya dini sahihi ya kiislamu na ndivyo ilivyokuwa wa wakati wa mtume na watawala wa mwanzo walioongoza Dola ya kiislamu baada ya kufa mtume.
Kwa nini hamuhamii huko..??
 
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.

Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.

View attachment 3084102
Afghanistan under Taliban regime is among of the most craziest country in the world.

Natamani kumuona FaizaFox akiomba uraia wa huko na kuhamia huko ili aweze kuishi huko milele maisha yake yote kabisa yaliyobaki hapa duniani.
 
Kwa nini hamuhamii huko..??
Wacha utani bana, unataka tuyaache Makondoo yote haya kuyarudisha kwenye utu? 👇🏾👇🏾👇🏾

Kipi cha maana kilichofanywa na viongozi wa nchi hii wanaume toka tupate Uhuru?
Kipi cha maana kilichofanywa na viongozi wa nchi hii wanaume toka tupate Uhuru?
Reveving Air tz, kibaha highway, first sgr in tz after 50+ yrs, improvising tra, forming a state mining company that will be owning shares in any mine under 255, nyerere hep, electric train, heri wao, her, dislocating the most unique ethnic tribe from their natural habitat-maasai's to other regions(it was a world wonder how these people lived with animals friendly), returning power to westerners to exploit our mines at her interest, allowing political leaders to embezzle funds as much as they can n purely go unpunished despite the public calls, unnecessary spending billions of dollars in her doing trips across the world( she's made more trips outside tz especially to westerners more than domestic trips withing tz. The question is, is she serving the world or was elected to serve tzdians?

The thing is, we better get men leaders who will limit embezzlement of public funds than her majesty whos ok with anything n everything. Let come what may but I'm not ok with her.

This mentality of equal rights has led to more single mothers than women in active marriages. This is a catastrophe n we are all watching our societies perishing helpesly like a broke hoe on her periods
 
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.

Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.

View attachment 3084102
Safi sana ila nashangaa mmehaidiwa mifereji ya pombe peponi lakini hamtaki kuitumia huko talibani hamuoni mnachengana na Allah
 
Reveving Air tz, kibaha highway, first sgr in tz after 50+ yrs, improvising tra, forming a state mining company that will be owning shares in any mine under 255, nyerere hep, electric train, heri wao, her, dislocating the most unique ethnic tribe from their natural habitat-maasai's to other regions(it was a world wonder how these people lived with animals friendly), returning power to westerners to exploit our mines at her interest, allowing political leaders to embezzle funds as much as they can n purely go unpunished despite the public calls, unnecessary spending billions of dollars in her doing trips across the world( she's made more trips outside tz especially to westerners more than domestic trips withing tz. The question is, is she serving the world or was elected to serve tzdians?

The thing is, we better get men leaders who will limit embezzlement of public funds than her majesty whos ok with anything n everything. Let come what may but I'm not ok with her.

This mentality of equal rights has led to more single mothers than women in active marriages. This is a catastrophe n we are all watching our societies perishing helpesly like a broke hoe on her periods
Usisahau na oesa tunazolipa hizo mining companies.
. Ynezisqhqu kesi za matrillion ? Zigo kabebeshwa mama.
. Nani kama mama?
 
Ndio mana wakipata upenyo wa kusema hawajiulizi mara mbili. Tena hawakimbilii Saudia, Qatar, Iraq, Yemen, U.A.E ni state hiyooo kwa mkali Lil Wayne, Amili Amili Amili Young Muller Baby.

Kama mnaona hizo sheria zinafaa wapelekeni dada zenu.
 
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.

Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.

View attachment 3084102
Huwezi jua, huenda wanataka wanawake wote wakimbie nchi wabaki wenyewe ili waanze kulana sunna.
 
Nchi pekee inayofuata sheria za kiisilamu itakuwa Afghanistan. Maana hata nchi kama Egypt, Morroco, Palestina nk tunaona wanawake wakiwa vichwa wazi
 
Wanawake wa Kiislamu wa hapa Tz, wanatakiwa kuvaa kama Wanawake wa Afghanistan. Wajifunike gubigubi kabisa na ni Mwiko kuongea katika public.
FaizaFoxy, aanze kuonesha mfano kwa wengine.
 
Back
Top Bottom