Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanatembea kama makondoo, au siyo?Mbona kuna watu pia huwa wanapiga jiwe mawe kama ibada??
Vizur bossKwa lugha ya jumla, kuwa uchi au kiingereza kuwa naked, maana yake ni kutokuwa na vazi la aina yoyote kwenye mwili.
Lakini katika lugha ya uhalisia, nakedness au kuwa uchi ni kutokuwa na kuweka wazi maeneo yako ya siri au kwa kiingereza, tunasema ni without concealment, not secretive, yaani katika mwili wako hakuna ulichokifanya ni kitu cha siri.
kwa mwanadamu, viungo vya siri ni vile vinavyohusiana na uzazi au maeneo ya mwili yanayoyakaribia viungo hivyo.
Hembu lete video yao tuone wanavyotembea tujue ikiwa ni kama makondoo, nyumbu n.k
Wale wanaangalia kwa maslahi makubwa ya jamii,nyie ndio mnapenda ngonoNgono ndiyo agenda yao hakuna lolote, mazee mazima yamefunga mindevu mpaka tumboni halafu yakiona mkono wa mwanamke yanadindisha. . Taliban ni wehu kama wehu wengine.
Na hili kanisa la wenda uchi nalo unatafsiri vipi?Kwa lugha ya jumla, kuwa uchi au kiingereza kuwa naked, maana yake ni kutokuwa na vazi la aina yoyote katika mwili.
Lakini katika lugha ya uhalisia, nakedness au kuwa uchi ni kuweka wazi maeneo yako ya siri au kwa kiingereza, tunasema ni without concealment, not secretive, yaani katika mwili wako hakuna ulichokifanya ni kitu cha siri.
kwa mwanadamu, viungo vya siri ni vile vinavyohusiana na uzazi au maeneo ya mwili yanayoyakaribia viungo hivyo.
SIo sahihiUume, uke na makalio.
Mzee kuna kitu huelewi.Ingekuwa kingono si wangetaka wanawake watembee uchi kama ufaransa na kwengine kote duniani
Think big
Hawa Wakatoliki wa Afghanistan? 👇🏾Ukiamua hata macho, pua, mdomo na kichwa unaweza kuvifanya sehemu za usiri/uchi.
Kwanza pole sana kwa mawazo yako hasi juu ya maono yako hayoMzee kuna kitu huelewi.
Mimi ni mmoja kati ya watu ambao natamani sana kuona wanawake wanavaa kwa staha na ndivo inavotakiwa, lakini kila kitu kwa kiasi.
Uislamu umefanya kitu ambacho ni kichekesho, eti kwamba mwanamke ndo inabidi afanye jitihada za ku-control hisia za mwanaume, dhana nyingine ya ajabu eti kwamba mwanaume akimtamani mwanamke ni kosa la mwanamke kutojistili vizuri.
A man should be responsible to his own actions.
Kuna sehemu nyeti kweny mwili wa mwanamke, pia hata kweny mwili wa mwanaume, hizo sehemu zinajulikana, na kuna sehemu ambazo ni za kawaida kabisa. Mfano mikono, mtu ambaye akiona mikono ya mwanamke ana sisimka huyo ana matatizo kwasababu mikono sio sehemu sensitive, mfano mwingine ni sura na nywele, sura ni sehemu ya kawaida kabisa wala haina uhusiano na ngono, ukiona wewe unadinda ukiona sura za wanawake ujue wewe ndo una shida na sio mwanamke, that's also goes for nywele, yaan kuna muda nikifikiria nacheka sana, why mwanamke afunike nywele zake, nywele ni sehemu za siri? Nywele ni urembo wa mwanamke na ukiona kwamba nywele za mwanamke zinakutamanisha wewe ndo una matatizo na sio mwanamke.
Kuna wanaume wana sura wazuri, je siku wanawake nao wakisema sura zenu zinatutamanisha na nyie wanaume itabidi mfunike sura sio?? Kwann mnawaza kwa upande wenu tuu?
Kwann wanawake ndo wabebe mizigo yenu kwa kujivika manguo mengi nyie mnashindwa ku-control nyege zenu??
Just think brother you're an individual, usiishie kusema tuu mtume kasema, tumia common sense.
Muslim men should start owning to your own actions.
Wewe mbona unazungumzia mabwana zako wa Hamas kila mara humu jamvini wanatuhusu nini?Nyie Watanzania maji kwenu shida na mito imejaa na maziwa makubwa yapo kwenu , yanawashinda! Mnarukia ya Afghanistan, yanawahusu nini?
Kama Allah ndo kasema hivo, bac ndugu yangu sina usemi mwingine, waendelee tuu kujificha mwili mzima.Mungu ndio kasema mwanamke mwili wake wote ni uchi kasoro viganja vya mikono na uso
That's funny, ujue kwann? Kwasababu nchi za kiislamu ndo nchi zinazoongoza kwa Inbreeding(kuzaliana kweny ukoo)Nikija kwa hoja yako kwamba mwanamke nywele zake ni urembo ni sahihi lkn kwa mume wake na ndugu zake wa karibu ambao hawawezi kuingia katika vishawishi,kwahiyo mapambo y mwanamke ni kwa ajili ya mumewe tu
Kujistiri ni asili kwa binadamu yoyote. Karibu binadamu wote duniani wanaume, Wanawake, watoto.Wamasai wanafuata Mila, Desturi na Utamaduni wao kwa maelfu na maelfu ya miaka wanajistiri. Unaweza kupitiliza sana na kuweka sheria kandamizi kali kama hizi, ndio maana dunia inashangaa.Iko hivi,wanawake kuongea mbele ya umma sio tatizo ila wajistiri hiyo kisheria,,ila wataliban wao wana itikadi zao zaidi
Sisi hapa kama waislamu wengine wote duniani tunaunga mkono katika kujistiri kwa wanawake period
Katika uislamu kuna wanawake ambao mwanaume ameruhusiwa kuwaoa na wengine hajaruhusiwa,kuna aya ngoja niitafute nitakurudia inshallahKama Allah ndo kasema hivo, bac ndugu yangu sina usemi mwingine, waendelee tuu kujificha mwili mzima.
That's funny, ujue kwann? Kwasababu nchi za kiislamu ndo nchi zinazoongoza kwa Inbreeding(kuzaliana kweny ukoo)
Kwaio hio dhana ya mwanamke kujiachia ukiwa na ndugu bado imefeli kwasababu mnatunguana ndugu kwa ndugu, hii inamaanisha hata ndugu wanatamani hizo nywele.
Ndio maana nikasema dini yako ni dhaifu ama huna dini kabisa hujaleta dalili yoyote kubainisha uchi wa mwanamke, wazo la wazungu uchi wa mwanamke ni kile kinachofunikwa na chupi yake tu labda na matiti,Hicho kinachofanyika ni ushetani. Unaongea vitu ambavyo ni vya kufikirika. Hivi mwanamke uso wake usipofichwa maana yake yupo uchi? Mwanamke mikono yaake isipofichwa ina maana yupo uchi? Nyayo na miguu yake isipofichwa maana yake yupo uchi? Kwa hiyo hawa wanawake wote wanaotembea nyuso zao zikiwa wazi, pamoja na Rais wetu Samia, kwa upotofu uliouleta hapa, maana yake wawanatembea uchi?
Kama kweli huo ushetani umeandikwa kwenye Quran, basi kuna walakini mkubwa kama hicho kitabu kilitoka kwa Mungu wa kweli. Ujue miungu ipo mingi, ila Mungu Yahwe, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo, ni mmoja tu, naye ni Mungu wa upendo, Mungu wa Msamaha, na ni Mungu wa huruma, si mwepesi wa hasira. Naye ameturithisha upendo huo huo tuwatendee wanadamu wenzetu kama tunataka kuishi ndani ya ufalme wake.
Mzee wangu alikuwa muislamu, ashawahi kuniambia kitu hichoKatika uislamu kuna wanawake ambao mwanaume ameruhusiwa kuwaoa na wengine hajaruhusiwa,kuna aya ngoja niitafute nitakurudia inshallah