Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.

Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.

View attachment 3084102
Yaaani hii ndo picha halisi ya nini quran inataka ndo maana welevu wengi duniani hawatak hii dini isambae koz siku ikingoza dunia tutarudi nyuma sana kisayansi ....ki usanii...... kii tamAduni....... pia kihistoria maaana uislam mara nyingi huwa hawapendi vitu vya kale wanavunja vunja

Haki za kina mama na wanawake kama unavyoona taliban

Swala la elimu mara nyingi hukazana elimu akhera na sio elimu dunia

Utafiti unaonesha popote waislam wakiwa 30% na kuandelea nchi hiyo swala la machafuko ni swala muda tu..... ndo maana nchi nyingi za kiarabu kuzuia hilo zinaongozwa kwa mkono wa chuma....maana quran mara nyingi inafundisha fujo...so uarabuni wanajitawala kwa mkono wachuma wanajua wana watu aina gani.... ndo maana democracy sio kwa ajili ya waarabu

So ukirudi tanzania ipo siku kitakuja kuwaka tu koz wapo 32'% ......walianza wakawahiwa kibit tanga ambani sasa wako msumbiji cabo delgado

Tukienda kwa taliban hayo ndo mafundisho sahihi ya uislam na hawajakosea kitu hata kimoja yaaani ndo mtume anavyotaka hivyo
 
Kwahiyo mwanamke kuvaa kwa stara ndio kumtesa,mbona makanisani hawaendi na chupi huko?
Wewe inaonekana umenyimwa ufahamu. Nani amesema watembee uchi? Hata kabla ya hizo sheria huko Afganstan, kulikuwa na wanawake wanaotembea uchi? Hivi Rais Samia ambaye havai kufunika uso wake wote, mikono yake yote na nyayo zake zote, maana yake yupo uchi?

Wewe kama una mapepo ya uzinzi, hata mwanamke akaingia ndani ya gunia, asioneshe hata kidole chake, utamfuata tu. Dunia nzima, sijaona nchi ambayo wanawake wote wanatembea Uchi, japo wapo wanaovaa mavazi yasiyo na staha, yaani mavazi yanaonesha au kuchora maungo yao ya siri. Na maungo ya siri kwa mwanadamu ni yale yanayohusiana na uzazi na yale yanayokaribiana nayo. Sasa mdomo au pua, mikono na miguu ina usiri gani? Huwezi kuzuia uzinifu kwa kuwatesa wanawake.
 
Wamsrekani na mazayuni na NATO yao baadabya kubamizwa na Taliban wamebaki na maneno ya kipuuzi tu.

Wao Afghanistanistan inawahusu nini?
Kuna Wa-Afghanistan zaidi ya milioni moja katika nchi za West,
 
Wewe inaonekana umenyimwa ufahamu. Nani amesema watembee uchi? Hata kabla ya hizo sheria huko Afganstan, kulikuwa na wanawake wanaotembea uchi? Hivi Rais Samia ambaye havai kufunika uso wake wote, mikono yake yote na nyayo zake zote, maana yake yupo uchi?

Wewe kama una mapepo ya uzinzi, hata mwanamke akaingia ndani ya gunia, asioneshe hata kidole chake, utamfuata tu. Dunia nzima, sijaona nchi ambayo wanawake wote wanatembea Uchi, japo wapo wanaovaa mavazi yasiyo na staha, yaani mavazi yanaonesha au kuchora maungo yao ya siri. Na maungo ya siri kwa mwanadamu ni yale yanayohusiana na uzazi na yale yanayokaribiana nayo. Sasa mdomo au pua, mikono na miguu ina usiri gani? Huwezi kuzuia uzinifu kwa kuwatesa wanawake.
Kwahiyo uchi kwako ni nini? Tuanzie hapa kwanza
 
Elewa mbele ya umma au public na sio one to one

Mwanamke kuongea mbele ya umma kuna shida gani?
Hata mbwa wako unaacha macho, pua masikio, mikono, yake wazi, Mbwa wako unamruhusu kuongea mbela ya umma.
Ukimvisha hivyo Ng'ombe au Kuku mtaani kwako watu hawatakuelewa na kumuwekea sheria za kuongea mbele ya umma. Shida ni nini kumdhibiti kiasi hiki Mwanamke kama robot?
 
Yaaani hii ndo picha halisi ya nini quran inataka ndo maana welevu wengi duniani hawatak hii dini isambae koz siku ikingoza dunia tutarudi nyuma sana kisayansi ....ki usanii...... kii tamAduni....... pia kihistoria maaana uislam mara nyingi huwa hawapendi vitu vya kale wanavunja vunja

Haki za kina mama na wanawake kama unavyoona taliban

Swala la elimu mara nyingi hukazana elimu akhera na sio elimu dunia

Utafiti unaonesha popote waislam wakiwa 30% na kuandelea nchi hiyo swala la machafuko ni swala muda tu..... ndo maana nchi nyingi za kiarabu kuzuia hilo zinaongozwa kwa mkono wa chuma....maana quran mara nyingi inafundisha fujo...so uarabuni wanajitawala kwa mkono wachuma wanajua wana watu aina gani.... ndo maana democracy sio kwa ajili ya waarabu

So ukirudi tanzania ipo siku kitakuja kuwaka tu koz wapo 32'% ......walianza wakawahiwa kibit tanga ambani sasa wako msumbiji cabo delgado

Tukienda kwa taliban hayo ndo mafundisho sahihi ya uislam na hawajakosea kitu hata kimoja yaaani ndo mtume anavyotaka hivyo
Weka ushahidi wa Qur'an. Wacha porojo.

Bibilia inasemaje? Mwanamke atembee uchi, au nusu uchi?
 
Nyie Watanzania maji kwenu shida na mito imejaa na maziwa makubwa yapo kwenu , yanawashinda! Mnarukia ya Afghanistan, yanawahusu nini?
Huoni Watanzania kila siku wanavyotifuana na chama chako tawala wapatiwe maendeleo au unajichetua tu??
 
Yaaani hii ndo picha halisi ya nini quran inataka ndo maana welevu wengi duniani hawatak hii dini isambae koz siku ikingoza dunia tutarudi nyuma sana kisayansi ....ki usanii...... kii tamAduni....... pia kihistoria maaana uislam mara nyingi huwa hawapendi vitu vya kale wanavunja vunja

Haki za kina mama na wanawake kama unavyoona taliban

Swala la elimu mara nyingi hukazana elimu akhera na sio elimu dunia

Utafiti unaonesha popote waislam wakiwa 30% na kuandelea nchi hiyo swala la machafuko ni swala muda tu..... ndo maana nchi nyingi za kiarabu kuzuia hilo zinaongozwa kwa mkono wa chuma....maana quran mara nyingi inafundisha fujo...so uarabuni wanajitawala kwa mkono wachuma wanajua wana watu aina gani.... ndo maana democracy sio kwa ajili ya waarabu

So ukirudi tanzania ipo siku kitakuja kuwaka tu koz wapo 32'% ......walianza wakawahiwa kibit tanga ambani sasa wako msumbiji cabo delgado

Tukienda kwa taliban hayo ndo mafundisho sahihi ya uislam na hawajakosea kitu hata kimoja yaaani ndo mtume anavyotaka hivyo
Jambo moja ninalokubaliana nawe ni kuwa nchi karibia zote za kiarabu, tena wanajifanya wanafuata dini ya mnyazi mungu, ndizo zinaoongoza kwa mauaji, vurugu na ghasia. Mungu wa kweli ni Mungu wa Amani, ni Mungu wa Upendo. Sasa hawa wana mungu gani? Huyo mungu wao ni mungu wa vurugu? Wanamtukuza mungu wao kwa mauaji?
 
Mwanamke kuongea mbele ya umma kuna shida gani?
Hata mbwa wako unaacha macho, pua masikio, mikono, yake wazi, Mbwa wako unamruhusu kuongea mbela ya umma. Shida ni nini kumdhibiti kiasi hiki Mwanamke kama robot?
Iko hivi,wanawake kuongea mbele ya umma sio tatizo ila wajistiri hiyo kisheria,,ila wataliban wao wana itikadi zao zaidi

Sisi hapa kama waislamu wengine wote duniani tunaunga mkono katika kujistiri kwa wanawake period
 
Weka ushahidi wa Qur'an. Wacha porojo.

Bibilia inasemaje? Mwanamke atembee uchi, au nusu uchi?
Binadamu wamekuwa wanavaa nguo hata kabla ya Biblia na baadaye Quran kuja.
 
Weka ushahidi wa Qur'an. Wacha porojo.

Bibilia inasemaje? Mwanamke atembee uchi, au nusu uchi?
Mimi sina dini dada ni mpagani ila nachop jua ni dini zote za kipumbavu hazina mantiki kwa bimadamu...... ila dini moja tu iko tofauti na nyingine UISLAM ..... haina mantiki kwa maendeleo ya binadamu ila pia ni HATARI zingatia neno hatari

Hakuna sehemu UISLAM ukiwa wenyewe au ukiwa dini zingine amani itadumu huwa ni swala muda tu....... narudia huwa ni swala muda au muwe na mkono wa chuma ndo amani hudumu
 
Jambo moja ninalokubaliana nawe ni kuwa nchi karibia zote za kiarabu, yena wanajifanya wanafuata dini ya mnyazi mungu, ndizo zinaoongoza kwa mauaji, vurugu na ghasia. Mungu wa kweli ni Mungu wa Amani, ni Mungu wa Upendo. Sasa hawa wana mungu gani? Huyo mungu wao ni mungu wa vurugu? Wanamtukuza mungu wao kwa mauaji?
Huwa sipendi porojo,bakia kwenye mada,ishu ni kujistiri hapa
 
Mimi sina dini dada ni mpagani ila nachop jua ni dini zote za kipumbavu hazina mantiki kwa bimadamu...... ila dini moja tu iko tofauti na nyingine UISLAM ..... haina mantiki kwa maendeleo ya binadamu ila pia ni HATARI zingatia neno hatari

Hakuna sehemu UISLAM ukiwa wenyewe au ukiwa pekee yake amani itadumu huwa ni swala muda tu....... narudia huwa ni swala muda au muwe na mkono wa chuma ndo amani hudumu
Wewe jama hyna dini na huijuqi Qur'an, una haki ipi kuiongelea?

Makondoo hawa, ndiyo ustaarabu wao huu, kanisani👇🏾👇🏾👇🏾
 
Kwahiyo uchi kwako ni nini? Tuanzie hapa kwanza
Kwa lugha ya jumla, kuwa uchi au kiingereza kuwa naked, maana yake ni kutokuwa na vazi la aina yoyote katika mwili.

Lakini katika lugha ya uhalisia, nakedness au kuwa uchi ni kuweka wazi maeneo yako ya siri au kwa kiingereza, tunasema ni without concealment, not secretive, yaani katika mwili wako hakuna ulichokifanya ni kitu cha siri.
kwa mwanadamu, viungo vya siri ni vile vinavyohusiana na uzazi au maeneo ya mwili yanayoyakaribia viungo hivyo.
 
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.

Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.

View attachment 3084102

SAFI SANA. INAPASWA HATA NJE WASIWE WANATOKA. WAKAE NDANI WASUBIRI KUSHENYENTWA.
 
Back
Top Bottom