Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaani hii ndo picha halisi ya nini quran inataka ndo maana welevu wengi duniani hawatak hii dini isambae koz siku ikingoza dunia tutarudi nyuma sana kisayansi ....ki usanii...... kii tamAduni....... pia kihistoria maaana uislam mara nyingi huwa hawapendi vitu vya kale wanavunja vunjaUtawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.
Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.
View attachment 3084102
Wewe inaonekana umenyimwa ufahamu. Nani amesema watembee uchi? Hata kabla ya hizo sheria huko Afganstan, kulikuwa na wanawake wanaotembea uchi? Hivi Rais Samia ambaye havai kufunika uso wake wote, mikono yake yote na nyayo zake zote, maana yake yupo uchi?Kwahiyo mwanamke kuvaa kwa stara ndio kumtesa,mbona makanisani hawaendi na chupi huko?
Kwahiyo uchi kwako ni nini? Tuanzie hapa kwanzaWewe inaonekana umenyimwa ufahamu. Nani amesema watembee uchi? Hata kabla ya hizo sheria huko Afganstan, kulikuwa na wanawake wanaotembea uchi? Hivi Rais Samia ambaye havai kufunika uso wake wote, mikono yake yote na nyayo zake zote, maana yake yupo uchi?
Wewe kama una mapepo ya uzinzi, hata mwanamke akaingia ndani ya gunia, asioneshe hata kidole chake, utamfuata tu. Dunia nzima, sijaona nchi ambayo wanawake wote wanatembea Uchi, japo wapo wanaovaa mavazi yasiyo na staha, yaani mavazi yanaonesha au kuchora maungo yao ya siri. Na maungo ya siri kwa mwanadamu ni yale yanayohusiana na uzazi na yale yanayokaribiana nayo. Sasa mdomo au pua, mikono na miguu ina usiri gani? Huwezi kuzuia uzinifu kwa kuwatesa wanawake.
Elewa mbele ya umma au public na sio one to one
Weka ushahidi wa Qur'an. Wacha porojo.Yaaani hii ndo picha halisi ya nini quran inataka ndo maana welevu wengi duniani hawatak hii dini isambae koz siku ikingoza dunia tutarudi nyuma sana kisayansi ....ki usanii...... kii tamAduni....... pia kihistoria maaana uislam mara nyingi huwa hawapendi vitu vya kale wanavunja vunja
Haki za kina mama na wanawake kama unavyoona taliban
Swala la elimu mara nyingi hukazana elimu akhera na sio elimu dunia
Utafiti unaonesha popote waislam wakiwa 30% na kuandelea nchi hiyo swala la machafuko ni swala muda tu..... ndo maana nchi nyingi za kiarabu kuzuia hilo zinaongozwa kwa mkono wa chuma....maana quran mara nyingi inafundisha fujo...so uarabuni wanajitawala kwa mkono wachuma wanajua wana watu aina gani.... ndo maana democracy sio kwa ajili ya waarabu
So ukirudi tanzania ipo siku kitakuja kuwaka tu koz wapo 32'% ......walianza wakawahiwa kibit tanga ambani sasa wako msumbiji cabo delgado
Tukienda kwa taliban hayo ndo mafundisho sahihi ya uislam na hawajakosea kitu hata kimoja yaaani ndo mtume anavyotaka hivyo
Ni sahihi kabisa,kule asilimia kubwa ya wakazi ni waislamuNi sahihi kumlazimisha mtu kufuata sheria za dini yako??
Huoni Watanzania kila siku wanavyotifuana na chama chako tawala wapatiwe maendeleo au unajichetua tu??Nyie Watanzania maji kwenu shida na mito imejaa na maziwa makubwa yapo kwenu , yanawashinda! Mnarukia ya Afghanistan, yanawahusu nini?
Jambo moja ninalokubaliana nawe ni kuwa nchi karibia zote za kiarabu, tena wanajifanya wanafuata dini ya mnyazi mungu, ndizo zinaoongoza kwa mauaji, vurugu na ghasia. Mungu wa kweli ni Mungu wa Amani, ni Mungu wa Upendo. Sasa hawa wana mungu gani? Huyo mungu wao ni mungu wa vurugu? Wanamtukuza mungu wao kwa mauaji?Yaaani hii ndo picha halisi ya nini quran inataka ndo maana welevu wengi duniani hawatak hii dini isambae koz siku ikingoza dunia tutarudi nyuma sana kisayansi ....ki usanii...... kii tamAduni....... pia kihistoria maaana uislam mara nyingi huwa hawapendi vitu vya kale wanavunja vunja
Haki za kina mama na wanawake kama unavyoona taliban
Swala la elimu mara nyingi hukazana elimu akhera na sio elimu dunia
Utafiti unaonesha popote waislam wakiwa 30% na kuandelea nchi hiyo swala la machafuko ni swala muda tu..... ndo maana nchi nyingi za kiarabu kuzuia hilo zinaongozwa kwa mkono wa chuma....maana quran mara nyingi inafundisha fujo...so uarabuni wanajitawala kwa mkono wachuma wanajua wana watu aina gani.... ndo maana democracy sio kwa ajili ya waarabu
So ukirudi tanzania ipo siku kitakuja kuwaka tu koz wapo 32'% ......walianza wakawahiwa kibit tanga ambani sasa wako msumbiji cabo delgado
Tukienda kwa taliban hayo ndo mafundisho sahihi ya uislam na hawajakosea kitu hata kimoja yaaani ndo mtume anavyotaka hivyo
Iko hivi,wanawake kuongea mbele ya umma sio tatizo ila wajistiri hiyo kisheria,,ila wataliban wao wana itikadi zao zaidiMwanamke kuongea mbele ya umma kuna shida gani?
Hata mbwa wako unaacha macho, pua masikio, mikono, yake wazi, Mbwa wako unamruhusu kuongea mbela ya umma. Shida ni nini kumdhibiti kiasi hiki Mwanamke kama robot?
Mimi sina dini dada ni mpagani ila nachop jua ni dini zote za kipumbavu hazina mantiki kwa bimadamu...... ila dini moja tu iko tofauti na nyingine UISLAM ..... haina mantiki kwa maendeleo ya binadamu ila pia ni HATARI zingatia neno hatariWeka ushahidi wa Qur'an. Wacha porojo.
Bibilia inasemaje? Mwanamke atembee uchi, au nusu uchi?
Huwa sipendi porojo,bakia kwenye mada,ishu ni kujistiri hapaJambo moja ninalokubaliana nawe ni kuwa nchi karibia zote za kiarabu, yena wanajifanya wanafuata dini ya mnyazi mungu, ndizo zinaoongoza kwa mauaji, vurugu na ghasia. Mungu wa kweli ni Mungu wa Amani, ni Mungu wa Upendo. Sasa hawa wana mungu gani? Huyo mungu wao ni mungu wa vurugu? Wanamtukuza mungu wao kwa mauaji?
Wewe jama hyna dini na huijuqi Qur'an, una haki ipi kuiongelea?Mimi sina dini dada ni mpagani ila nachop jua ni dini zote za kipumbavu hazina mantiki kwa bimadamu...... ila dini moja tu iko tofauti na nyingine UISLAM ..... haina mantiki kwa maendeleo ya binadamu ila pia ni HATARI zingatia neno hatari
Hakuna sehemu UISLAM ukiwa wenyewe au ukiwa pekee yake amani itadumu huwa ni swala muda tu....... narudia huwa ni swala muda au muwe na mkono wa chuma ndo amani hudumu
Mbona kuna watu pia huwa wanapiga jiwe mawe kama ibada??Wewe jama hyna dini na huijuqi Qur'an, una haki ipi kuiongelea?
Makondoo hawa, ndiyo ustaarabu wao huu, kanisani👇🏾👇🏾👇🏾
View attachment 3084184
Kwa lugha ya jumla, kuwa uchi au kiingereza kuwa naked, maana yake ni kutokuwa na vazi la aina yoyote katika mwili.Kwahiyo uchi kwako ni nini? Tuanzie hapa kwanza
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.
Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.
View attachment 3084102