Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

Hivi huwa kwa nini jamii fulani huwa wanaona mila na gesturi zao ni bora kuliko zingine??,wao kama jamii wameona huo ndio utaratibu nzuri kwa nini wewe mtu wa nje uone ni mbaya????
Kwa nini watu wa magharibi na wafuasi wao waone tamaduni zao ndio bora kuliko zingine.
 
Hizo sheria za kishetani, ni sawa na kusema wanawake hawakustahili kuwepo Duniani. Yaani badala ya kuwadhibiti wanaume wenye tamaa mbaya, wanaenda kuwatesa wanawake!! Halafu utawasikia eti ni maagizo ya dini!! Hiyo itakuwa dini ya wachawi?? Kwenye nchi za kishetani kama hizi, mtu akizaliwa mwanamke inakuea kama ni laana.

Siku ya saba, Mungu akasema, na tumwumbe mwanadamu. Kwa mfano wa Mungu, mwanaume na mwanamke akawaumba.

Enyi wana wa Mungu mnaomwabudu Mungu wa kweli zingatieni mafundisho ya Mungu yanayosema sote, wanaume na wanawake ni sawa mbele za Mungu.

Andiko jingine lasema:
Enyi wake watiini waume zenu, nanyi waume wapendeni wake zenu. Wanaume tumepewa jukumu zito sana kwa wanawake kwa maana upendo hukusanya mambo mengi sana. Ukimpenda mtu maana yake huwezi kumtesa, huwezi kumwekea sheria ngumu au za kumdhalilisha. Lakini pia kuwa tayari hata kufa kwaajili yake. Maana tunaambiwa tuwapende wake zetu kama Yesu alivyolipenda Kanisa.
 
Hicho kinachofanyika ni ushetani. Unaongea vitu ambavyo ni vya kufikirika. Hivi mwanamke uso wake usipofichwa maana yake yupo uchi? Mwanamke mikono yake isipofichwa ina maana yupo uchi? Nyayo na miguu yake isipofichwa maana yake yupo uchi? Kwa hiyo hawa wanawake wote wanaotembea nyuso zao zikiwa wazi, pamoja na Rais wetu Samia, kwa upotofu uliouleta hapa, maana yake wawanatembea uchi?

Kama kweli huo ushetani umeandikwa kwenye Quran, basi kuna walakini mkubwa kama hicho kitabu kilitoka kwa Mungu wa kweli. Ujue miungu ipo mingi, ila Mungu Yahwe, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo, ni mmoja tu, naye ni Mungu wa upendo, Mungu wa Msamaha, na ni Mungu wa huruma, si mwepesi wa hasira. Naye ameturithisha upendo huo huo tuwatendee wanadamu wenzetu kama tunataka kuishi ndani ya ufalme wake.
Eti Rais wetu mama Samia, nyinyi si kila siku munamtukana Mama Samia mpaka munamwita bi maushungi mnataka aachie wazi nywele zake aache kujisitiri atembee kama wazungu ndio atakuwa huru.
 
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma.

Taliban wanasema sheria hizi ni kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti vitendo vya tamaa na vishawishwi vibaya katika jamii ya nchi hiyo. Hata hivyo wanaharakati na viongozi sehemu mbalimbali duniani wamelaani vikali sheria hizo mpya za Taliban zitakazoanza kutumika mwezi huu.

View attachment 3084102
Huko ndiyo kunamfaa FaizaFoxy. Ukimpeleka FaizaFixy, ndani ya wiki moja tu watakuwa wameshamkata kichwa.
 
Kwanza pole sana kwa mawazo yako hasi juu ya maono yako hayo

Mungu ndio kasema mwanamke mwili wake wote ni uchi kasoro viganja vya mikono na uso,sasa kama nyinyi hamumuamini mungu na sheria zake ni tatizo lenu na sio.letu
Achana na huyo mungu wa aina hiyo.
 
Hivi huwa kwa nini jamii fulani huwa wanaona mila na gesturi zao ni bora kuliko zingine??,wao kama jamii wameona huo ndio utaratibu nzuri kwa nini wewe mtu wa nje uone ni mbaya????
Kwa nini watu wa magharibi na wafuasi wao waone tamaduni zao ndio bora kuliko zingine.
Utamaduni huwa haulazimishwi kwa viboko na kifungo.
Pia kuna Utamaduni mbovu kama kukeketa wanawake, ndoa za utotoni au kuwazuia wasiende shule kusoma.
 
Halafu utadikia wakijinasibu "DINI YETU INAMHESHIMISHA MWANAMKE" Labda kumgandamiza wao wanatafsiri ndio kumheshimisha. OGOPA dini ambayo mtoto hata awe na miaka 7 akiota matiti tuu wanamuoa. OGOPA dini ambayo wanaoa watu wa damu moja
 
Wataliban nimewaelewa sasa maana uhuru umezidi wanawake watatembea uchi wa mnyama sasa huku kwetu kila mwanamke anavaa suruali body tight skin jeans, vibukta/vinjunga, maziwa nje matiti nje kisingizio uhuru human rights, kumbe prostitution tu ukimtamani hela yako tu utajibiwa, mnaenda kuzini na anauza kwa wengine bila aibu.
 
Nikija kwa hoja yako kwamba mwanamke nywele zake ni urembo ni sahihi lkn kwa mume wake na ndugu zake wa karibu ambao hawawezi kuingia katika vishawishi,kwahiyo mapambo y mwanamke ni kwa ajili ya mumewe tu
Wewe ukiona nywele au kichwa wazi tu cha mwanamke unaweza kuanza kumtamani kingono??
Basi utakuwa na matatizo.
 
Wataliban nimewaelewa sasa maana uhuru umezidi wanawake watatembea uchi wa mnyama sasa huku kwetu kila mwanamke anavaa suruali body tight skin jeans, vibukta/vinjunga, maziwa nje matiti nje kisingizio uhuru human rights, kumbe prostitution tu ukimtamani hela yako tu utajibiwa, mnaenda kuzini na anauza kwa wengine bila aibu.
Inabidi ufanyike mpango wanaume wa aina yako wahamishiwe Afghanistan na Iran halafu wale wanawake wa kule wasiokubaliana na hizo sheria wahamishwe nchi zilizo na uhuru kwa wanawake.
 
Wako sahihi. Mwanamke anatakiwa afiche maungo yake. Kuwaiga wazungu wanaovaa vichupi hata mbele ya watoto wao wa kiume ni upuuzi mtupu
 
Mbona peponi kwa Allah wanawake hawavai kitu na ni weupe hadi bone marrow unaona misambwanda na wapo soft sana.. yaani kwa sasa Allah anawalainisha tu kila mwanaume muislam anaanzia 70.. cha kushangaza Peponi ni Allah pekee ndie anavaa Hijab according tu Mtume wake Mohammad... Taliban ni mataahira
 
Back
Top Bottom