Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

Inashangaza, pembeni ya Afghanistan kuna Pakistan, nchi ya kiislam lakini mpaka wamewahi kuwa na Prime Minister mwanamke! Tatizo ni Taliban, sio Uislam
 
Ili uendelee kumnyanyasa na kuoa wanawake wengi? Dunia imebadilika ndugu yangu, siku ukiwa na watoto wa kike, wasomeshe mpaka darasa la 7 uwaache.
elimu mpaka darasa la saba mwanamke inamtosha, akitoka hapo akasomee kazi za mikono, zaidi ya hapo ni kujitafutia matatizo

naungana na Taliban na DeepPond kwa hili
 
Pakistan ni nchi yenye vurugu kubwa za kidini, makundi mengi ya itikadi kali za kidini yanapata hifadhi Pakistan, Osama pia alikuwa anahifadhiwa huko.
Huwa kuna matukio mengi ya kigaidi Pakistan
Inashangaza, pembeni ya Afghanistan kuna Pakistan, nchi ya kiislam lakini mpaka wamewahi kuwa na Prime Minister mwanamke! Tatizo ni Taliban, sio Uislam
 
Watu wanaamua mambo yao....wanao umiya ni wakristo wa Tanganyika....ya Taliban waacheni Wao wenyewe kila utawala na sheria zake,hakuna maelekezo yeyote katika uislam yanayomkataza mwanamke kusoma kwani amriya kwanza aliyopewa kiongozi wa Waislamu Bwana mtume S.a.w ni kusoma kabla ya kupewa utume....hutakiwi kuwa mjinga kama watu wanayodhani dini ya kiislamu inawanyima haki wanawake huo ni uongo.

Hao Taliban wanatafuta njia ya kuwatenganisha wanawake na wanaume katika mazingira ya kukata elimu....wanawake wasome kivyao na wanaume kivyao.
 
Wanawake wa Afghanistan wamerudishwa zama za giza..
 
Adriz wanacho fanya taliban ni sahihi au sio sahihi
 
[emoji1787] kuna mda ndugu zangu waislamu mnisikilize dini inawavuruga kichwa.
Huyo mwanamke unayemzuia kusoma mfano udaktari,ukunga na mengine unataka mke wako akizaa azalishwe na mwanaume.maana dini yenu inakataza kuona maumbile ya mwanamke.

kwa kujidanganya sasa Hoo dini yetu ndio imegundua sayansi ! wapi kwenye maandiko pameandikwa toyota Ist !.

Ila mtakaa kimya maana inawachoma.

Dini hizi tumeletewa tu ?
 
Allahu akbar, Alhamdullilah, maagizo ya Mtume yameanza kutekelezwa, kidogo kidogo hivi mwishowe dunia nzima itafuata huu utaratibu.

Tumeshaona madhara ya wanawake kusomeshwa, ndiyo hawa maslayqueen, ndiyo hawa mafeminists, ndiyo hawa wanataka 50/50, ndiyo hawa malaya wa badoo.

Dunia nzima itakuja kugundua umuhimu wa kutomsomesha mwanamke ili ndoa ziwe stable, Tujifunze kutoka Afghanistan.

Sharia ya Allah ndio njia pekee ya binadamu kuishi kwa amani hapa duniani
 
"Tafuteni elimu japo kuwa nchi za china"

"Elimu ni faradhi kwa mwanaume na mwanamke" faradhi means ni lazima .

Technically wameenda against na uislamu na hawajafuata matakwa ya uislamu so hapo uislamu hausiki kabisa.
 
Mkeo akienda hospital upo tayari apigwe doko na dokta wa kiume?
 
Aisee [emoji848] [emoji848] [emoji848] nyie endeleeni na huo mpango wenu ila kwa sisi wakristo mwanamke atapewa haki zote zinazomstahili...
 
"Tafuteni elimu japo kuwa nchi za china"

"Elimu ni faradhi kwa mwanaume na mwanamke" faradhi means ni lazima .

Technically wameenda against na uislamu na hawajafuata matakwa ya uislamu so hapo uislamu hausiki kabisa.
Lakini siniwaislam hao ama?
 
Tukisema uislamu ni tatizo mnakuja juu. Ni nini hiki?
 
Wanaume wanataka kuzichezea kila mahali!! Inasikitisha mno!!
 
Kama unamaanisha, basi fuvu lako hilo limejaa uji. Mnamgeuza mwanamke kuwa chombo cha starehe ya ngono tu eti? Kwingine kote asihusike! Mnakera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…