Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

We jamaa kwahiyo kwakuwa uislam unataka basi na dunia yote iwe hivyo?
 
[emoji23][emoji23]Hao ni watu hata papa kuruhusu ushoga sio kwamba ukristo ndo unaruhusu ni tamaa za kibadamu.
Hata kama karuhusu haimaanishi kila aliye chini yake atafata hayo matakwa yake. Hakuna mkristo yeyote asiyefahamu ushoga ni dhambi kubwa sana na chukizo kwa Mungu.
 
Kama unamaanisha, basi fuvu lako hilo limejaa uji. Mnamgeuza mwanamke kuwa chombo cha starehe ya ngono tu eti? Kwingine kote asihusike! Mnakera!
We unawatetea hapa, halafu ukitaka kuoa unaenda kijijini kutafuta wa darasa la saba unaleta mjini...Hao wasomi nani awaoe??

Ndiomaana sikuhizi singlemazas wanazidi kuongezeka.
 
Hata kama karuhusu haimaanishi kila aliye chini yake atafata hayo matakwa yake. Hakuna mkristo yeyote asiyefahamu ushoga ni dhambi kubwa sana na chukizo kwa Mungu.
Yanafuatwa 100% ndo maana ukitaka kufunga ndoa ya jinsia moja lazima uwe mkristo ili ufunge kanisani na wanaruhusu karibia makanisa yote kasoro walokole
 
Yaan mwanamke kazaliwa kwaajili ya ndoa tu?
 
wanaume wanataka kutomasatomasa uke za wake za watu kwenye vyumba vya kujifungulia
 
unaambiwa sheri za kiislam mke akiwa amelala na mumewe alaf akitaka kujigeuza ni lazima amuombe mumewe ruhusu ya kugeuka, kwaiyo unamwamsha mumeo kisha unaomba ruhusa ya kugeuka .

[emoji4][emoji4] hawa jamaa sijui wapo ulimwengu gan. mke kwao ni chombo cha starehe na kuwalelea watoto wao tu.
 
Huwa mko kama mazombi, tangu nisome taarifa za kwamba mohammad alikua anagegeda katoto ka miaka 9, nilidharau sana na hiyo dini yenu ya mwarabu, mna matatizo sana nyie watu...
Wanawake waislamu huonwa kama takataka, huwa nashangaa sana bibi FaizaFoxy akikesha humu kutetea ukatili wa hiyo dini yenu.
 
Yanafuatwa 100% ndo maana ukitaka kufunga ndoa ya jinsia moja lazima uwe mkristo ili ufunge kanisani na wanaruhusu karibia makanisa yote kasoro walokole
Mbona unapenda uzushi na uongo lipo wapi kanisa la katoliki linafungisha ndoa ya jinsia moja, ebu leta hiyo declaration iliyosainiwa na papa na inayoongesha kanisa katoliki limeruhusu ushoga
 
Ila Sasa nani anawatibu na kuwazalisha
 
Mwa hiyo Girita Hawa Taliban wanatumia sharia Gani kukataza wanawake wasisome
 
Mbona unapenda uzushi na uongo lipo wapi kanisa la katoliki linafungisha ndoa ya jinsia moja, ebu leta hiyo declaration iliyosainiwa na papa na inayoongesha kanisa katoliki limeruhusu ushoga
Unabisha!! Andika hata google utaona maana hayo madhehebu yenu sio yote nayafahamu.
 
Pakistan ni nchi yenye vurugu kubwa za kidini, makundi mengi ya itikadi kali za kidini yanapata hifadhi Pakistan, Osama pia alikuwa anahifadhiwa huko.
Huwa kuna matukio mengi ya kigaidi Pakistan
Yes lakini point hapa ni nafasi ya mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…