Yaani Hawa jamaa ni shida sana Tena sana.unaambiwa sheri za kiislam mke akiwa amelala na mumewe alaf akitaka kujigeuza ni lazima amuombe mumewe ruhusu ya kugeuka, kwaiyo unamwamsha mumeo kisha unaomba ruhusa ya kugeuka .
[emoji4][emoji4] hawa jamaa sijui wapo ulimwengu gan. mke kwao ni chombo cha starehe na kuwalelea watoto wao tu.
Wewe raisi wako ni jinsia ganiWatu wanaamua mambo yao....wanao umiya ni wakristo wa Tanganyika....ya Taliban waacheni Wao wenyewe kila utawala na sheria zake,hakuna maelekezo yeyote katika uislam yanayomkataza mwanamke kusoma kwani amriya kwanza aliyopewa kiongozi wa Waislamu Bwana mtume S.a.w ni kusoma kabla ya kupewa utume....hutakiwi kuwa mjinga kama watu wanayodhani dini ya kiislamu inawanyima haki wanawake huo ni uongo.
Hao Taliban wanatafuta njia ya kuwatenganisha wanawake na wanaume katika mazingira ya kukata elimu....wanawake wasome kivyao na wanaume kivyao.
We jamaa unaakili kweli nionyeshe kanisa katoliki au kigango ambalo linafungisha ndoa hapa Tanzania za mashoga, kwa hiyo ndoa zinafungishwa google nikatafute nin googleUnabisha!! Andika hata google utaona maana hayo madhehebu yenu sio yote nayafahamu.
👉Sibishani nimeongelea wanaofanya wanajumuisha na tamaduni zao ambazo kweny dini hazipo ,sisi wewe mtanzania mwenzangu.We jamaa unaakili kweli nionyeshe kanisa katoliki au kigango ambalo linafungisha ndoa hapa Tanzania za mashoga, kwa hiyo ndoa zinafungishwa google nikatafute nin google
Point yako ya kwanza ni papa Francis ameruhusu ushoga kitu ambacho sio kweli ni uongo au uzushi, kanisa katoliki halijawahi ruhusu ndoa za jinsia moja👉Sibishani nimeongelea wanaofanya wanajumuisha na tamaduni zao ambazo kweny dini hazipo ,sisi wewe mtanzania mwenzangu.
Namaanisha wazungu wanavyofanya kufungisha huko kwao japo ni against na mafundisho ya ukristo.
Nn maana yangu? 👉👉 Tamaduni za watu zinaleta manipulation kweny dini ni mbaya sana kwa bongo hata iweje hakuna jamii inaweza kukubali.
Ni kweli !! wewe ndo hujui.Point yako ya kwanza ni papa Francis ameruhusu ushoga kitu ambacho sio kweli ni uongo au uzushi, kanisa katoliki halijawahi ruhusu ndoa za jinsia moja
Point yako ya kwanza ni papa Francis ameruhusu ushoga kitu ambacho sio kweli ni uongo au uzushi, kanisa katoliki halijawahi ruhusu ndoa za jinsia moja
Onyesha basi hilo kanisa linafungisha hizo ndoa huwezi, tatizo lako uko desperate na una mental issue hio ni tough combination, kwa mtu mwenye akili timamu huwez lazimisha kitu au mtuhumu mtu au taasisi kwa jambo ambalo halipoNi kweli !! wewe ndo hujui.
Nimekuambia nenda kagoogle sina kelele nyingi nikujazie mapicha hapa.. Hujui chochote we fuata mkumbo tu.Onyesha basi hilo kanisa linafungisha hizo ndoa huwezi, tatizo lako uko desperate na una mental issue hio ni tough combination, kwa mtu mwenye akili timamu huwez lazimisha kitu au mtuhumu mtu au taasisi kwa jambo ambalo halipo
We jamaa unavituko mim nikagoogle kitu ambacho hakipo, wewe ndo unatakiwa uniletee huo ushahid wa maandishi (declaration) ukiwa umesigniwa na papa ambao unaoonyesha kanisa katoliki limeruhusu ndoa ya jinsia moja, yaani huwez kuja na maneno matupu alafu utegemee watu wakuamin mambo sio marahisi hivyoNimekuambia nenda kagoogle sina kelele nyingi nikujazie mapicha hapa.. Hujui chochote we fuata mkumbo tu.
😂😂😂Kitu kipoWe jamaa unavituko mim nikagoogle kitu ambacho hakipo, wewe ndo unatakiwa uniletee huo ushahid wa maandishi (declaration) ukiwa umesigniwa na papa ambao unaoonyesha kanisa katoliki limeruhusu ndoa ya jinsia moja, yaani huwez kuja na maneno matupu alafu utegemee watu wakuamin mambo sio marahisi hivyo
Si utapata watoto. Usiwasomeshe, waache wataolewa.Kazi ya mwanamke tangu dunia iumbwe mbona inajulikana mkuu[emoji4]
Dini imetoka kuzimu hiiWake zenu ni konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo" (2: 222-223
MTUME ALIOA MTOTO WA MIAKA 6.
Alikula mzigo mtoto wa MIAKA 9
Hakika ni ushetani haswa.Hapo nchi jirani ya India maprofesa wanawake wamejaa kila mahali bila idadi ila hawa mashetani sijui wana balaa gani hawa.