Tamaa binafsi za Mama ndiyo zinatuletea kukosa misaada ya Watanzania!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake

Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu zote zimesitishwa. Raisi sasa kila mtu anamkimbia mpaka Dangote Kenya aliomba asiwepo!

Sasa kama taifa tusiendelee kutetea huyu Mama hata kwa mabaya eti uzalendo kama ni mzalendo asinge umiza nchi kwa matakwa binafsi
 
uzalendo ni wimbo wa ******* wa ccm
 
Hao wahuni wanaoongoza chama na sirikali wapo radhi tanzania iwe kama zimbabwe kuliko kutenda demokrasia ,kuacha kuteka nk
 
Ana jeuri, anajidai hajali chochote akiwa mbele ya camera, lakini akiingia ndani kwenye vikao vyao anawaambia wakina Kombo waende US kubembeleza misamaha.
 
Atakuja uyu kichaa ana anaanzaga na jentomeni
 
Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake

Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu zote zimesitishwa. Raisi sasa kila mtu anamkimbia mpaka Dangote Kenya aliomba asiwepo!

Sasa kama taifa tusiendelee kutetea huyu Mama hata kwa mabaya eti uzalendo kama ni mzalendo asinge umiza nchi kwa matakwa binafsi
Anaunda vitume vyake vya kipuuzi vya kupaka upepo rangi. Huyu mama miyeyusho sana.
 
Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake

Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu zote zimesitishwa. Raisi sasa kila mtu anamkimbia mpaka Dangote Kenya aliomba asiwepo!

Sasa kama taifa tusiendelee kutetea huyu Mama hata kwa mabaya eti uzalendo kama ni mzalendo asinge umiza nchi kwa matakwa binafsi

..hata Kenya hawezi kwenda kamtuma Husseni Mwinyi.
 
Back
Top Bottom