uzalendo ni wimbo wa ******* wa ccmMama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake
Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu zote zimesitishwa. Raisi sasa kila mtu anamkimbia mpaka Dangote Kenya aliomba asiwepo!
Sasa kama taifa tusiendelee kutetea huyu Mama hata kwa mabaya eti uzalendo kama ni mzalendo asinge umiza nchi kwa matakwa binafsi
Hao wahuni wanaoongoza chama na sirikali wapo radhi tanzania iwe kama zimbabwe kuliko kutenda demokrasia ,kuacha kuteka nkMama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake
Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu zote zimesitishwa. Raisi sasa kila mtu anamkimbia mpaka Dangote Kenya aliomba asiwepo!
Sasa kama taifa tusiendelee kutetea huyu Mama hata kwa mabaya eti uzalendo kama ni mzalendo asinge umiza nchi kwa matakwa binafsi
Mbele kunaenda kuwa pagumu sanaTaifa linaangamia kisa mtu mmoja??
Africa ni Africa tu
📌Mbele kunaenda kuwa pagumu sana
suluhisho ni unyakuziHao wahuni wanaoongoza chama na sirikali wapo radhi tanzania iwe kama zimbabwe kuliko kutenda demokrasia ,kuacha kuteka nk
Anaunda vitume vyake vya kipuuzi vya kupaka upepo rangi. Huyu mama miyeyusho sana.Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake
Misaada ya EU na US imekatwa. Visa za US za aina karibu zote zimesitishwa. Raisi sasa kila mtu anamkimbia mpaka Dangote Kenya aliomba asiwepo!
Sasa kama taifa tusiendelee kutetea huyu Mama hata kwa mabaya eti uzalendo kama ni mzalendo asinge umiza nchi kwa matakwa binafsi
Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi wa kutoka Africa wamesema uchaguzi ni fake