Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La Harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.