kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???
Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikinwakati natembea miles kutafuta chakula kuna ambaye anatembea miles kusaga chakula tumboni.
Wakati natembea miles kutafuta chakula kuna ambaye anatembea miles kusaga chakula tumboni.Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La Harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340