herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
500k/8 = 62500@1 ni pesa ya kawaida sana ndo maana mkawekewa sanda mezan🤣🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ungeenda The Hub mkuuDaaah Nilipatwa na Hasira Sana, Nikaondoka kwenda The Don's na hiyo ni saa 8 usiku
Hapa walaumiwe waandaaji The next level Arusha na sio HarmonizeWakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La Harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340
Next level Arusha ...NjiroIlikuwa ukumbi gani
Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???
Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikini.

Yes ndo mana juzi usiku nilikuwa nasikia makelele tu hapaNext level Arusha ...Njiro
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ati wakawekewa nini? Ongeza volume kidogo wasikie500k/8 = 62500@1 ni pesa ya kawaida sana ndo maana mkawekewa sanda mezan[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unayosema yanaweza kuwa kweli au si kweli kutokana na income classes zilizopo katika jamii husika.Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???
Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikini.
Unashangaa mtu kulipia kiingilio 500k?Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Pale Diamond Jubilee Kuna Club Moja Kiingilio Tu 500k Tena una-swap Kadi Tu Unakuwa Mwendo Umeumaliza, Unaingia Zako Ndani Maisha YanaendeleaUnashangaa mtu kulipia kiingilio 500k?
Kama hauna pesa ni wewe, kuna wenzako wanakula milioni 2 mpaka 3 kila weekend kwenye starehe.
Iko hivi, MUNGU hakukuweka hapa duniani ili uteseke.
Kwanza yashike maagizo ya MUNGU, kisha tafuta pesa na uzitumie upendavyo.
Hyo laki 5 igawe x8, kumbuka sio meza ya mtu mmojaLaki 5 vikindu ama dondwe unapata kiwanja kimenyooka
Ulitegemea mtu kama jembe aweze kumtoa mwanamziki,wakti yeye club imekufa,band yke imekufa amebakiza redio inasuasua tu....mziki haufanywi kwa mashindano,harmo hana management nzuri atafeli mapema kwa huyo muuza suraWakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La Harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti "hakuna mgogo mwenye akili" aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]Anyway. Hakuna mgogo mwenye akili.
Siku nyingine hiyo 62500 saidia ndugu zako ombaomba.
Show iliandaliwa na Next level Arena hao wasanii walikuwa watoa burudani tu.
Sioni kwa namna yoyote kama walihusika na uandaaji wa tamasha.
Ungehudhuria kanisani na hiyo hela Mungu angekubaroki na kukuongezea zaid, endelea kumtumikia SHETANI na mawakala wake ,ma FREEMASON.Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La Harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340
Hiyo meza na huo mkono kulishika tiketi vimeendana sana. Sijaona kosa la waandaaji...Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La Harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeandika kwa uchungu sana. Ukweli mchungu ni kuwa maisha yetu hayawezi kufanana kama vidole vyako mkononi, wakati wewe unawaza kupata 500K ufungue tigopesa/ mpesa ..wenzako hiyo ni bajeti ya ku refresh akili weekend moja.Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???
Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikini.
Yeye anaalikwa kupiga show anabeba mpunga anaenda waandaji hao ni wamiliki wa hotel ndiyo wamefeli😂😂Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.