Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???

Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.

Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikinwakati natembea miles kutafuta chakula kuna ambaye anatembea miles kusaga chakula tumboni.
Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La Harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340
Wakati natembea miles kutafuta chakula kuna ambaye anatembea miles kusaga chakula tumboni.
 
Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???

Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.

Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikini.

Kwa hiyo mkuu waTanzania wote wana hizo shida ulizozitaja?
 
Sasa na wewe unaendaje Kwa wasanii vilaza kama hao , angalia Tu hata video za wasanii wake jinsi zilivyo poor ndo utajua jamaa anaunga unga Sana , video ya Attitude walichukua zile carpet draft nyesui na nyeupe wakagongomelea na mlingoti pamoja na mbao reject 🙂
😊😊😊😊😊😊😊
 
Mwanaume na nywele zangu nitoe hata Mia mbili afu afu nikaambiwe nyanyua mikono juu piga kelelee!
Au labda nikuulize Una umri gani!?
 
Mwanaume na nywele zangu nitoe hata Mia mbili afu afu nikaambiwe nyanyua mikono juu piga kelelee!
Au labda nikuulize Una umri gani!?
Yaani matamasha ya Bongo inabidi mashabiki ndio tulipwe.

Maana unaingia wewe unaimba nyimbo zote. Akiingia Nandy anawaimba tuimbe wote, Dogo Janja tuimbe wote, Diamond mikono juu... Khaa. Unatoka umechokaaa..
 
Mwanzo mgumu,naamini atarekebisha na anasoma coment zenu.
 
Mkuu tsh 62500 ndio uifungulie uzi

Kifup n kwamba kila mmoja ametoa kias tajwa hapo juu ingekuwa 500k kwa kichwa sawa ulikuwa na haki

Kwa hyo ukitegemea ukute meza ya tanzanite Hennessey chupa kubwa

Kifup meza imeendana na salio lenu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???

Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.

Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikini.

Baelezee baelezeee
 
Back
Top Bottom