Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

Aisee 😹😹😹😹😹
 

Umeona sisi watoto wenzio sana. Hiyo meza sio ya laki tano aisee. Nomesoma hiyo tiketi vizuri sana ulichojisahau ni kwamba tiketi inajieleza.

Table for 8 people ndio laki tano ambayo hiyo uliyoweka by any means haiwezi kuwa meza ya kuaccomodate watu nane.

Pia kiingilio ni 10,000 kawaida na VIP ni 20,000 inajieleza kabisa hapo aisee hebu usituone sisi ni watoto.
 
Ni muongo soma hiyo ticket inajieleza kabisa, table for eight people ndio 500K ambapo ukiangalia hiyo meza sio ya watu 8 yani by any means.

Kiingilio ilikuwa 10 kawaida kwa 20 VIP. Ametuona mabwege sana
Hajui kama na wewe ulienda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]majungu si mtaji
 

Sasa unawaka nini? Mbona ndo maana anasema harmonize hajajiandaa .’coz bei haiendani na alichokikuta na hakivutii kurudi kwenye shows zake? Watu wengine mko ovyo
 
Mpaka ifike December utakuwa umeshajifungua TOTO LA KIMAKONDE.

Ni mwendo wa kupelekewa MOTOOOOOOO🔥🔥🔥🔥🔥🤣
 
Anyway. Hakuna mgogo mwenye akili.

Siku nyingine hiyo 62500 saidia ndugu zako ombaomba.

Show iliandaliwa na Next level Arena hao wasanii walikuwa watoa burudani tu.

Sioni kwa namna yoyote kama walihusika na uandaaji wa tamasha.
Punguza Upunguani Nyau Ww, Unadhani Wote wanaoishi Dodoma Ni Wagogo? Halafu Familia Yangu Haina Shida, deal na Maisha Yako... Naive
 
Punguza Upunguani Nyau Ww, Unadhani Wote wanaoishi Dodoma Ni Wagogo? Halafu Familia Yangu Haina Shida, deal na Maisha Yako... Naive
Anza wewe kudeal na maisha yako siyo kujadili wanaume wa kazi.

Familia yako haina shida wakati hapa unabweka kwasababu ya Tsh 62,500 yaani $30 kama siyo njaa na utaahira ni nini? 🤣
 
Hatulingani vipato mkuu na ukiona kwako maisha ni magumu basi ujue kuna mwingine kwake ni mepesi,ikiwa wew laki 5 yako waisubilia Aidha kwa miezi 4 ili ikae mfukoni nje ya matumizi kuna mwingine ni hesabu ya Siku moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…