Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

500k/8 = 62500@1 ni pesa ya kawaida sana ndo maana mkawekewa sanda mezanπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hapa walaumiwe waandaaji The next level Arusha na sio Harmonize
 

Laki 5 vikindu ama dondwe unapata kiwanja kimenyooka
 

Hizi akili zako ni za maskini kaka

Uzipo badilika hela itakukataa,hamna shida yeyote mtu akitumia hela yake kupata furaha SHIDA HAIPO.

Mambo ya umalaya na pombe hizo ni mindset zako wewe acha watu watumie pesa yao wanavyotaka na kutumia kwake 500k watu wameingiza mkono kinywani.Usitaka kukumbatia umaskini
 
Unayosema yanaweza kuwa kweli au si kweli kutokana na income classes zilizopo katika jamii husika.

Nadhani hiyo classes uliyoisemea wamepokea vizuri ushauri wako
 
Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Unashangaa mtu kulipia kiingilio 500k?
Kama hauna pesa ni wewe, kuna wenzako wanakula milioni 2 mpaka 3 kila weekend kwenye starehe.
Iko hivi, MUNGU hakukuweka hapa duniani ili uteseke.
Kwanza yashike maagizo ya MUNGU, kisha tafuta pesa na uzitumie upendavyo.
 
Pale Diamond Jubilee Kuna Club Moja Kiingilio Tu 500k Tena una-swap Kadi Tu Unakuwa Mwendo Umeumaliza, Unaingia Zako Ndani Maisha Yanaendelea
 
Ulitegemea mtu kama jembe aweze kumtoa mwanamziki,wakti yeye club imekufa,band yke imekufa amebakiza redio inasuasua tu....mziki haufanywi kwa mashindano,harmo hana management nzuri atafeli mapema kwa huyo muuza sura
 
Anyway. Hakuna mgogo mwenye akili.

Siku nyingine hiyo 62500 saidia ndugu zako ombaomba.

Show iliandaliwa na Next level Arena hao wasanii walikuwa watoa burudani tu.

Sioni kwa namna yoyote kama walihusika na uandaaji wa tamasha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti "hakuna mgogo mwenye akili" aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungehudhuria kanisani na hiyo hela Mungu angekubaroki na kukuongezea zaid, endelea kumtumikia SHETANI na mawakala wake ,ma FREEMASON.
 
Hiyo meza na huo mkono kulishika tiketi vimeendana sana. Sijaona kosa la waandaaji...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeandika kwa uchungu sana. Ukweli mchungu ni kuwa maisha yetu hayawezi kufanana kama vidole vyako mkononi, wakati wewe unawaza kupata 500K ufungue tigopesa/ mpesa ..wenzako hiyo ni bajeti ya ku refresh akili weekend moja.
 
Mi najuwa huko huenda Watoto na Wanyoa viduku tu, Kumbe hata JF members Mko huko !
 
Yeye anaalikwa kupiga show anabeba mpunga anaenda waandaji hao ni wamiliki wa hotel ndiyo wamefeliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…