Tamasha la Kizimkazi lina manufaa gani kwa taifa?

Utalii.

Huelewi kuwa Tanzania ipo kwenye promotion ya kuongeza namba ya watalii?

Hivi hujawahi kuisikia Royal Tour?

Hakika Tanzania adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Naona sasa anaemfatia kwa haraka sana ni roho mbaya.
Yaani WEWE akili zako unazijua mwenyewe
 
Nilitarajia Mwinyi ndiyo apigiwe promo na si Bi Tozo na hili pia mkalitazame.
 
Wakina mwijaku&Co Ltd wanajilia hela
Bure kabisa

Ova
 
Duh utakuwa na upeo mdogo sana kusubiri kujua taarifa fulani kupitia baba levo[emoji1787][emoji1787]yani taarifa ya msingi uijue kupitia chawa?lol kizaz empty set
Jamaa kanishangaza sana, chanzo Cha taarifa zake ni Baba levo daah
 
NINI KIMEBADILIKA BAADA YA FAIDA YA ROYAL TOUR...
Royal Tour is simply a scam.....si kweli kuwa watalii wanakuja Tanzania baada ya kuona sinema ya Royal Tour, wengi wanakuja baada ya nchi zao kufungua mipaka toka kwenye wimbi la covid - 19, tunadanganywa sana na viongozi wetu kama waarab na wazungu walivyotudanganya na dini zao zisizo na mashiko kwetu.
 
Duh utakuwa na upeo mdogo sana kusubiri kujua taarifa fulani kupitia baba levo🤣🤣yani taarifa ya msingi uijue kupitia chawa?lol kizaz empty set
Usimshange bali muonee huruma tu......vijana wa bongo fleva ndivyo walivyo, akili zao ni za kuazima tu kwa sekunde kadhaa kisha zinarudishwa mochwari.
 
Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.

Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.

HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?

Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
unateseka nini? hebu punguza roho mbaya kidogo wewe pesa ya matangazo ya redio inakuhusu kivipi? kwani mpira una faida gani nchi hii na hamujawahi kuleta kombe hata siku moja na sisi tunavumilia tu.
 
Kwani Hilo tamasha limeanza awamu ya 6? Bado Swahili expo
 
Hizi sherehe zimeanza miaka mingi sana kabla mama Samia hajawa Rais.

Kumbuka hilo.
hebu mueleze aelewe, anadhania yeye kwa kuwa ameisikia Kizimkazi kwa huyo baba levo ndiyo sherehe zimeanza hivi karibuni
 
Nitajie sherehe moja ya kipuuzi iliyo fanyika Butiama
Au Kwa kina Mkapa zaidi ya Mazishi yake
Au Kwa Mzee Mwinyi zaidi ya maulidi maulidi za kidini tu Tena kimya kimya

Ni mihemko ya kupata!!

Mungu aturehemu
hayo maeneo uliyoyataja ni ya utalii kiasilia? hiyo ndiyo tafauti kubwa na Kizimkazi
 
unateseka nini? hebu punguza roho mbaya kidogo wewe pesa ya matangazo ya redio inakuhusu kivipi? kwani mpira una faida gani nchi hii na hamujawahi kuleta kombe hata siku moja na sisi tunavumilia tu.
[emoji1787][emoji1787]
 
Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.

Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.

HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?

Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
TAIFA KWA VITUKO HILI NI BALAA[emoji1][emoji1][emoji1]
frank_yanga_1691214630235739.jpg
 
Royal Tour is simply a scam.....si kweli kuwa watalii wanakuja Tanzania baada ya kuona sinema ya Royal Tour, wengi wanakuja baada ya nchi zao kufungua mipaka toka kwenye wimbi la covid - 19, tunadanganywa sana na viongozi wetu kama waarab na wazungu walivyotudanganya na dini zao zisizo na mashiko kwetu.
R.O.H.O M.B.A.Y.A
 
Maokoto ya mkataba yapo ya kutosha ndio mwaka huu wamechukua na machawa wengi, Wakumbuke kurudisha wanyama wetu wakimaliza kelele zao
 
Utalii.

Huelewi kuwa Tanzania ipo kwenye promotion ya kuongeza namba ya watalii?

Hivi hujawahi kuisikia Royal Tour?

Hakika Tanzania adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Naona sasa anaemfatia kwa haraka sana ni roho mbaya.
Na Chato kila watu wakihoji vile vibweka vyake walikuwa na majibu kama haya yako.

Wacha tuwe na subra
 
Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.

Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.

HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?

Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
Unazungumza kwa uchungu kweli kweli pole sana

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom