Tamasha la Kizimkazi lina manufaa gani kwa taifa?

Tamasha la Kizimkazi lina manufaa gani kwa taifa?

Kiukweli Tamasha la Kizimkazi linatuunganisha zaidi Watanganyika na Wazanzibari

Watu wanafurahi na kusahau matatizo yao

Mlale Unono [emoji3]
Ni wangapi wanakuwa huko na kufurahi kati ya watanganyika milioni 60?
 
Huyu mama kiuongozi anafanana kabisa na mobutu seseseko.mobutu alikuwa anafanya matamasha kijijini kwake gbadolite.pesa za walipa kodi zilitumika kuandaa matamasha ambayo ni hasara zaidi kuliko faida
 
Back
Top Bottom