bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Huo umma wenyewe ni pamoja na kizimkaziHamna faida yeyoye zaidi ya hasara tu kwa Tanganyika. Pesa zimechotwa kutoka Tanganyika kpelekwa kwenye huo mkusanyiko wa wachezea pesa za umma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo umma wenyewe ni pamoja na kizimkaziHamna faida yeyoye zaidi ya hasara tu kwa Tanganyika. Pesa zimechotwa kutoka Tanganyika kpelekwa kwenye huo mkusanyiko wa wachezea pesa za umma.
Wako alifanya tamasha Kijiji kwenu unyanyembe ukusemaAkina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.
Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.
HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?
Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
....ResponsibilityUkijuwa R mbili za mwisho kwenye falsafa ya mama Samia zina maana ipi, hutolalamika
Mbuga za wanyama kule Chato zina faida gani kwa Taifa?.Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.
Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.
HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?
Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
CHADEMA ikiingia ikulu kila mtu atapajua vizuri Hai alipozaliwa Mbowe, ni masuala ya kawaida sana haya kwa Afrika yetu.Haina tofauti na mambo yaliyo kuwa yakifanyika Chato wakati wa awamu ya Tano
Ushamba wa Madaraka tu!!
Wapi Kuanzia utawala wa Nyerere mpaka Mkapa uliona sherehe za Maraisi Nyumbani kwao?!!
Mkwere alifanyiwa Ile sherehe Chalinze baada ya ustahafu
Tupunguze kuionyesha Dunia ulimbukeni wa Viongozi wa Africa
Ndiyo maana Trampo anatutukana bila kupepesa macho!!
Pesa zingepunza makali zimeenda kuongoza Ukimwi tu pale
Mungu aturehemu tuondoe upofu huu
Juzi kipindi cha dhalimu ndio huu upuuzi wa viongozi kufanyia mambo kijijini kwao yalianza. Tutajie Nyerere ama Mwinyi walifanya lini ?Hizi sherehe zimeanza miaka mingi sana kabla mama Samia hajawa Rais.
Kumbuka hilo.
Tuanze na nyerere, alilifikisha taifa likawa masikini wamwisho duniani.Juzi kipindi cha dhalimu ndio huu upuuzi wa viongozi kufanyia mambo kijijini kwao yalianza. Tutajie Nyerere ama Mwinyi walifanya lini ?
Irrelevant.Tuanze na nyerere, alilifikisha taifa likawa masikini wamwisho duniani.
Mwinyi akaja kuweka mambo sawa, unafikiri angeanza kushughulikia utalii, wakati Watanzania hata kula ya kutosha kawakuta hawana?
Unaijuwa hali ya Tanzania na Watanzania aliyowadchiwa Mwingi? Tuulize tuliokuwepo.
Tuwe tunatumia vichwa vyetu kufikiri japo kiduchu.
Miaka mingi iliyopita, mzee Momose Cheyo akiwa anatoa hoja kuhusiana na mgawanyo wa rasilimali za nchi hii aliwahi kusema kuwa mahali ilipo dhahabu ndani ya nchi hii, inabidi pafanane fanane kidogo na dhahabu, na pale ilipo Amasi vilevileNi kama Butiama,Chato,Msoga,Lupaso n.k
Wacha lipigwe Promo.
Mimi bila Babalevo nisingejua Bi HNgaya kazaliwa huko
[emoji108]Utalii.
Huelewi kuwa Tanzania ipo kwenye promotion ya kuongeza namba ya watalii?
Hivi hujawahi kuisikia Royal Tour?
Hakika Tanzania adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Naona sasa anaemfatia kwa haraka sana ni roho mbaya.
Wanafurahi na kusahau matatizo yao!!! Kumbe wanasahau tu lakini matatizo yapoKiukweli Tamasha la Kizimkazi linatuunganisha zaidi Watanganyika na Wazanzibari
Watu wanafurahi na kusahau matatizo yao
Mlale Unono 😀