Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Yaani WEWE akili zako unazijua mwenyeweUtalii.
Huelewi kuwa Tanzania ipo kwenye promotion ya kuongeza namba ya watalii?
Hivi hujawahi kuisikia Royal Tour?
Hakika Tanzania adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Naona sasa anaemfatia kwa haraka sana ni roho mbaya.
Jamaa kanishangaza sana, chanzo Cha taarifa zake ni Baba levo daahDuh utakuwa na upeo mdogo sana kusubiri kujua taarifa fulani kupitia baba levo[emoji1787][emoji1787]yani taarifa ya msingi uijue kupitia chawa?lol kizaz empty set
Yale yake tuu, hakuna habari za shule wala hosp. Eti hivyo tuwaachie wakristo!Kizimkazi , Suluhu Sports Academy
Royal Tour is simply a scam.....si kweli kuwa watalii wanakuja Tanzania baada ya kuona sinema ya Royal Tour, wengi wanakuja baada ya nchi zao kufungua mipaka toka kwenye wimbi la covid - 19, tunadanganywa sana na viongozi wetu kama waarab na wazungu walivyotudanganya na dini zao zisizo na mashiko kwetu.NINI KIMEBADILIKA BAADA YA FAIDA YA ROYAL TOUR...
Usimshange bali muonee huruma tu......vijana wa bongo fleva ndivyo walivyo, akili zao ni za kuazima tu kwa sekunde kadhaa kisha zinarudishwa mochwari.Duh utakuwa na upeo mdogo sana kusubiri kujua taarifa fulani kupitia baba levo🤣🤣yani taarifa ya msingi uijue kupitia chawa?lol kizaz empty set
unateseka nini? hebu punguza roho mbaya kidogo wewe pesa ya matangazo ya redio inakuhusu kivipi? kwani mpira una faida gani nchi hii na hamujawahi kuleta kombe hata siku moja na sisi tunavumilia tu.Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.
Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.
HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?
Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
Kwani Hilo tamasha limeanza awamu ya 6? Bado Swahili expoAkina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.
Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.
HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?
Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
hebu mueleze aelewe, anadhania yeye kwa kuwa ameisikia Kizimkazi kwa huyo baba levo ndiyo sherehe zimeanza hivi karibuniHizi sherehe zimeanza miaka mingi sana kabla mama Samia hajawa Rais.
Kumbuka hilo.
hayo maeneo uliyoyataja ni ya utalii kiasilia? hiyo ndiyo tafauti kubwa na KizimkaziNitajie sherehe moja ya kipuuzi iliyo fanyika Butiama
Au Kwa kina Mkapa zaidi ya Mazishi yake
Au Kwa Mzee Mwinyi zaidi ya maulidi maulidi za kidini tu Tena kimya kimya
Ni mihemko ya kupata!!
Mungu aturehemu
Udini ni aina ya uchizi....Yale yake tuu, hakuna habari za shule wala hosp. Eti hivyo tuwaachie wakristo!
[emoji1787][emoji1787]unateseka nini? hebu punguza roho mbaya kidogo wewe pesa ya matangazo ya redio inakuhusu kivipi? kwani mpira una faida gani nchi hii na hamujawahi kuleta kombe hata siku moja na sisi tunavumilia tu.
TAIFA KWA VITUKO HILI NI BALAA[emoji1][emoji1][emoji1]Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.
Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.
HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?
Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
R.O.H.O M.B.A.Y.ARoyal Tour is simply a scam.....si kweli kuwa watalii wanakuja Tanzania baada ya kuona sinema ya Royal Tour, wengi wanakuja baada ya nchi zao kufungua mipaka toka kwenye wimbi la covid - 19, tunadanganywa sana na viongozi wetu kama waarab na wazungu walivyotudanganya na dini zao zisizo na mashiko kwetu.
kweli ni scam kodi zetu zimetafunwa bila hurumaR.O.H.O M.B.A.Y.A
Na Chato kila watu wakihoji vile vibweka vyake walikuwa na majibu kama haya yako.Utalii.
Huelewi kuwa Tanzania ipo kwenye promotion ya kuongeza namba ya watalii?
Hivi hujawahi kuisikia Royal Tour?
Hakika Tanzania adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Naona sasa anaemfatia kwa haraka sana ni roho mbaya.
Unazungumza kwa uchungu kweli kweli pole sanaAkina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula.
Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo.
HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu na kivuli eti UTALII...kwani ni nani ametuambia utalii upo chini? Kwamba unahitaji tamasha la kizimkazi kuuboresha?
Wengine wanasema anaenda kuzindua miradi? Mbona haikufanyika namna hiyo kwenye miradi mingine..?
Mbona chato umeisahau kuitaja?Nitajie sherehe moja ya kipuuzi iliyo fanyika Butiama
Au Kwa kina Mkapa zaidi ya Mazishi yake
Au Kwa Mzee Mwinyi zaidi ya maulidi maulidi za kidini tu Tena kimya kimya
Ni mihemko ya kupata!!
Mungu aturehemu