Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,409 Reaction score 13,262 Aug 31, 2023 #61 johnthebaptist said: Kiukweli Tamasha la Kizimkazi linatuunganisha zaidi Watanganyika na Wazanzibari Watu wanafurahi na kusahau matatizo yao Mlale Unono [emoji3] Click to expand... Ni wangapi wanakuwa huko na kufurahi kati ya watanganyika milioni 60?
johnthebaptist said: Kiukweli Tamasha la Kizimkazi linatuunganisha zaidi Watanganyika na Wazanzibari Watu wanafurahi na kusahau matatizo yao Mlale Unono [emoji3] Click to expand... Ni wangapi wanakuwa huko na kufurahi kati ya watanganyika milioni 60?
mapesa yamejaa JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 1,412 Reaction score 3,419 Aug 31, 2023 #62 Huyu mama kiuongozi anafanana kabisa na mobutu seseseko.mobutu alikuwa anafanya matamasha kijijini kwake gbadolite.pesa za walipa kodi zilitumika kuandaa matamasha ambayo ni hasara zaidi kuliko faida
Huyu mama kiuongozi anafanana kabisa na mobutu seseseko.mobutu alikuwa anafanya matamasha kijijini kwake gbadolite.pesa za walipa kodi zilitumika kuandaa matamasha ambayo ni hasara zaidi kuliko faida
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 31, 2023 #63 Kizimkazi Paje Roho Tua.
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 9,626 Reaction score 6,731 Sep 11, 2023 #64 Mkunazi Njiwa said: R.O.H.O M.B.A.Y.A Click to expand... Kama kusema ukweli ni roho mbaya basi ni iwe hivyo
Mkunazi Njiwa said: R.O.H.O M.B.A.Y.A Click to expand... Kama kusema ukweli ni roho mbaya basi ni iwe hivyo