Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mbinu ya kujifariji na maswaibu yao watatoka kwenywe event halafu wataanza kuwapigia baba watoto kutuma ya matumizi maana zitakuwa zimeishaKatika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini??
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Wimbo: Born to Suffer by Lucky DubeView attachment 2513259
Imagine!Wamechagua siku ambayo wenzao wenye kufaidi mapenzi huwa wana enjoy mradi tuu waharibu
Upo sahihi kabisaMwanamke anaeponda ndoa ikiwa ye hana hiyo ndoa basi ni mbinu ya kujifariji na upweke au kuhusiana na waume za watu,
Ndoa zina changamoto lakini hatuwezi kukataa kuwa ndipo panamuheshimisha na kumthaminisha sana mwanamke(hasa Afrika)
Na ukifatilia wanawake wengi wa uswahilini wameolewa hata km ni sio kwa ndoa rasmi, hata km itakuwa ndoa ya 4 ila kuishi peke yao huwa ngumuHuwa nawakubali Sana TALIBAN na Sheria zao sikuzote mwanamke akienda shule kidogo ni taabu Sana kwenye jamii.
Wanawake wa uswahilini huwezi kumwona kwenye hayo matamasha ya kujazana UJINGA
Eti ni Single Mother huyo....Huyo Host 😁😁
Amen AmenMwanamke anaeponda ndoa ikiwa ye hana hiyo ndoa basi ni mbinu ya kujifariji na upweke au kuhusiana na waume za watu,
Ndoa zina changamoto lakini hatuwezi kukataa kuwa ndipo panamuheshimisha na kumthaminisha sana mwanamke(hasa Afrika)
Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini??
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Wimbo: Born to Suffer by Lucky DubeView attachment 2513259
Wewe ni member wa hilo group la WhatsApp la Single Mothers? Vinginevyo naunga mkono hoja yako. Wanawake walioshindwa, wakiungana ni sumu kwa kilichowashinda kama wapo wanaweza. Ni sababu ya wivu wao.Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini??
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.
Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.
Wimbo: Born to Suffer by Lucky DubeView attachment 2513259
Tangazo ni la 2021 ila niliweka ili kuongeza msisitizo but nimeondoa naona linaleta mkanganyikoAna mguu fulani
Ova
This was 2021, mwaka huu wanajiandaa kufanya tenaWamechagua siku ambayo wenzao wenye kufaidi mapenzi huwa wana enjoy mradi tuu waharibu
Hamna lolote sio heshima mnayotafuta kwenye ndoa...mnataka tuu kuhudumiwa mule hela zetu. Hapa sasa ni mwendo wa mizagamuano baada ya hapo kila mtu akasake hela zake.Mwanamke anaeponda ndoa ikiwa ye hana hiyo ndoa basi ni mbinu ya kujifariji na upweke au kuhusiana na waume za watu,
Ndoa zina changamoto lakini hatuwezi kukataa kuwa ndipo panamuheshimisha na kumthaminisha sana mwanamke(hasa Afrika)