Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini??

Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.

Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.

Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!

Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube
Tunahofia sana tusiyoyajua yaani fear of unknown....

Waache wakutane, waache wapange yao maana wana majukumu makubwa ya malezi ambayo sisi wanaume tumeyakimbia na kuwasusia.

Sie twendeni hotelini hapo ili wakimaliza kikao tupate japo kuwasindikiza home salama inapobidi.....😀
 
Waache waishi we fanya Yako na wao wafanye Yao hawana wanaemuharibu huenda wakawajenga zaidi wale wasio na ndoa na sio Kila single mother ndoa ilimshinda wengine wamefiwa na waume zao na wengine ni wao wameachwa hata walipojaribu kupambania hizo ndoa wengine walitelekezwa na watoto na hawakuwa na namna acha wakutane wacheke wafurahi watoe stress maisha yaendelee
 
Sasa unafikiri utaona umuhimu wa kuoana ilhali umelelewa mazingira ya single parent, like mother like son ndo hii yako
Ah wapi ni mtazamo tuu, wapo wengi wamelelewa na single parent lakini wameahaoa na wana enjoy ndoa zao
 
Muda si mrefu nawe utageuzwa mbususu utafunwe uolewe upate heshima ya mke wa mtu
Hilo mbona halina tabu sii mwendo wakupeana maraha ya dunia tuu ila ndoa hapana🤣🤣🤣🤣
 
Mwanamke anaeponda ndoa ikiwa ye hana hiyo ndoa basi ni mbinu ya kujifariji na upweke au kuhusiana na waume za watu,

Ndoa zina changamoto lakini hatuwezi kukataa kuwa ndipo panamuheshimisha na kumthaminisha sana mwanamke(hasa Afrika)
Umenikumbusha ya Joyce Kiria.
Alituponda sana wanaume, alipopata kidume amefungwa mdomo.
Mwanamke asipozibwa mdomo mmoja mdomo wa juu unaongea sana.
Nisamehe rafiki
 
Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?

Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi kujadili jambo lolote la msingi zaidi ya kufundishana ujinga mtupu na kuponda Wanaume na Ndoa kwa ujumla.

Tusikubali hii sumu iendelee kuenezwa kwa speed hii, hatutaweza ila pia hatutashindwa kuokoa baadhi ya Ndoa, kumbuka wanaoumia ni Watoto.

Tusiruhusu Mwaka huu 2023 kuwe na matamasha kama haya Tena!

Wimbo: Born to Suffer by Lucky Dube

Kuna mambo mengine ni kujitotezea muda tu kuyajadili mana huwezi ya zuia kutokea,jamii ilishafeli kitambo na kurecover ni ngumu.

Ushauri mleta mada tafuta kazi uwe bize na maisha yako vitu kama hivi havitokusumbua.
 
Back
Top Bottom