TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Wanatozwa pesa sababu hayo matamasha hayajaandaliwa kwa ajili ya vijana kujazwa na Roho Mtakatifu. Yameandaliwa ili vijana wakutane, wafanye urafiki, wapeane mimba na kutuongezea familia zisizo rasmi hapa mjiniHio hufanyika kila mwaka na sio wao tu makanisa mengi hufanya hivyo hata RC sio bure kuna gharama
MazezetaKKKT duh kitambo sana! Kuna watu bado wanasali sali huko?!
Kwenda wapi?Ushaambiwa wataendaje bila kupelekwa?
InafikirishaWanatozwa pesa sababu hayo matamasha hayajaandaliwa kwa ajili ya vijana kujazwa na Roho Mtakatifu. Yameandaliwa ili vijana wakutane, wafanye urafiki, wapeane mimba na kutuongezea familia zisizo rasmi hapa mjini
Wizi haukubalikiacha roho mbaya,, wacha wanaopigwa wapigwe...
hakuna mwenye Hati Miliki ya imani yoyote..
Well said brotherkwa sssa kama unahitaji kuwa na mahusiano mazuri na ya ukaribu na Mwenyezi Mungu yatafute nje ya dini, nje ya imani.
dini madhehebu na idara za kidini zimekuwa chanzo kikuu cha mwanadamu kuwa mbali na Mungu alie muumba.
kwenye dini na madhehebu ndiko kuliko na chuki ubinafsi na kila aina ya uovu, nadhubutu kusema kama shetani yupo basi ofisi yake ipo kwenye dini na madhehebu.
kuhubiri injiliKwenda wapi?
Ufunuo wa Yohana 2:12-13kwenye dini na madhehebu ndiko kuliko na chuki ubinafsi na kila aina ya uovu, nadhubutu kusema kama shetani yupo basi ofisi yake ipo kwenye dini na madhehebu.
Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu linahubiri injili gani? Sana sana tuliona Malasusa akifanya siasakuhubiri injili
Nje ya Imani tunajengaje mahusiano na ukaribu na Mungu? Na Imani zimestawishwa kupitia mifumo ya maisha (dini).kwa sssa kama unahitaji kuwa na mahusiano mazuri na ya ukaribu na Mwenyezi Mungu yatafute nje ya dini, nje ya imani.
dini madhehebu na idara za kidini zimekuwa chanzo kikuu cha mwanadamu kuwa mbali na Mungu alie muumba.
kwenye dini na madhehebu ndiko kuliko na chuki ubinafsi na kila aina ya uovu, nadhubutu kusema kama shetani yupo basi ofisi yake ipo kwenye dini na madhehebu.
Kwani huwezi kufanya maisha ya imani nje ya dini au dhehebu?Nje ya Imani tunajengaje mahusiano na ukaribu na Mungu? Na Imani zimestawishwa kupitia mifumo ya maisha (dini).
Acheni ngano na magugu vikue pamoja.. Mpaka wakati wa mavuno.
Au nimekuelewaje Mimi...
Malasusa ni chawa wa mama. Kila afanyalo ni maagizo kutoka ikulu.Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilitheri halikupaswa kutoza viingilio kwani neno la Mungu linatolewa bure na haliuzwi.
Hebu tuangalie baadhi ya mistari:-
Isaya 55:1-2
[1] Haya, kila aonaye kiu, njoni majini,
Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle;
Naam, njoni, nunueni divai na maziwa,
Bila fedha na bila thamani.
Ho, every one that thirsteth, come ye to the waters, and he that hath no money; come ye, buy, and eat; yea, come, buy wine and milk without money and without price.
[2] Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula?
Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha?
Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema,
Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
Wherefore do ye spend money for that which is not bread? and your labour for that which satisfieth not? hearken diligently unto me, and eat ye that which is good, and let your soul delight itself in fatness.
Mathayo 10:8
[8] Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Heal the sick, cleanse the lepers, raise the dead, cast out devils: freely ye have received, freely give.