Tamasha la Twende zetu kwa Yesu mnafanya wizi kuuza neno la Mungu

Tamasha la Twende zetu kwa Yesu mnafanya wizi kuuza neno la Mungu

Msingi wa hiyo Imani unakua umeteremshiwa tu mwenyewe kama yule incharge? Aliyeteremshiwa kitabu chao.
RC, Sabato, makanisa ya Kipentekosti yote yana tumia Biblia lakini mafundisho yao ni tofauti kabisa.

Kuna kanisa linaitwa Shincheonji limetokea Korea Kusini, wanaamini Yesu ameshakuja na yuko Korea ana miaka 95. Anaitwa Lee Man-hee

Na zaidi ya hayo.. Lengo lilikua ni Msingi wa Imani ambao haupatikani nje ya mifumo ya dini..

Kwenye hayo mafundisho kupitia hizo dini/dhehebu sindo tunarudi kwenye ngano na magugu yakue pamoja... Au tunazungukaje hapa
 
nauza
Kanisa la KKKT ni kanisa chawa la mama. Ni chombo cha CCM kama ilivyo BAKWATA.

Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lilikuwa ni jukwaa mahsusi kwa Askofu Alex Gehaz Malasusa kufanya siasa.

Anawaambia vijana wachangamkie fursa zilizoandaliwa na mama. Fursa hizo ni zipi? Ziko wapi? Kijana wa Mtipimbi au wa Mbwidu atazifikiaje fursa hizo?

Fursa ni kwa ajili ya viongozi na watoto wao na rafiki zao.

Watoto wote wa maskini wasiposimama na kupambania kwa nguvu, machozi jasho na damu watateseka milele
nauza karanga za mayai na urojo.
kwa sasa nipo zanzibar kizi mkazi
 
kwa sssa kama unahitaji kuwa na mahusiano mazuri na ya ukaribu na Mwenyezi Mungu yatafute nje ya dini, nje ya imani.

dini madhehebu na idara za kidini zimekuwa chanzo kikuu cha mwanadamu kuwa mbali na Mungu alie muumba.

kwenye dini na madhehebu ndiko kuliko na chuki ubinafsi na kila aina ya uovu, nadhubutu kusema kama shetani yupo basi ofisi yake ipo kwenye dini na madhehebu.
imani pekee isiyo na mawaa ni ndani ya Kanisa Katoliki, huku kwingine kwenye miradi ya familia za watu mtaishia kutoa milio kila siku hadi mkome.
 
kwa sssa kama unahitaji kuwa na mahusiano mazuri na ya ukaribu na Mwenyezi Mungu yatafute nje ya dini, nje ya imani.

dini madhehebu na idara za kidini zimekuwa chanzo kikuu cha mwanadamu kuwa mbali na Mungu alie muumba.

kwenye dini na madhehebu ndiko kuliko na chuki ubinafsi na kila aina ya uovu, nadhubutu kusema kama shetani yupo basi ofisi yake ipo kwenye dini na madhehebu.
MUNGU ni ROHO na shetani ni roho.
 
Back
Top Bottom