Tamasha la WCB Mtwara ladhihirisha Uchumi unazidi kuimarika! Watanzania wana pesa mifukoni

tusiende burudani
 
Ukiwasikia nyumbuu wanavyotaharuki unaweza kudhani nchi ipo kwenye Vita kumbe nchi imetulia tuli full Aman.. kila siku nawaambia Kama Wana uwezo waandamane au waitishe maandamano Kama watapata support!?

True walahi
Fyeeekelea mbali michadrama walahi
 
kwahiyo hao uliowaona ndio watanzania wote... yaan had babu yako alikuwa anawashangilia wasafi sio..!!!
 
Wewe hela uliyokuwa nae kabla 2015 leo unayo?
 
chakutisha zaidi mtu kama huyu atapewa udc au urc .....kweli tz kichwa cha mwenda wazimu kuruhusu akili ndogo kutawala akili kubwa .......
 
wakereketwa wengi wa ccm ni janga la kibara. sio kitaifa tuu mnaitia afrika aibu
 
ule utafiti was TWAWEZA ulibainisha aina ya watu, kiwango cha elimu, uchumi wa watu na maeneo ambayo CCM inapendwa.
kwa hii thread nimeamini utafiti ule.
 
Tangu wanasiasa walipotoa povu kushinikiza Rais atangaze janga la njaa na sikuiona, wakipiga kelele ndio kwanza naenda bar kumimina moja baridi moja moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…