MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
kwenye upuuzi kama huu lazima mpate upakoutaambulia matusi tu CHADEMA hawana hoja tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye upuuzi kama huu lazima mpate upakoutaambulia matusi tu CHADEMA hawana hoja tena
tusiende burudaniJana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.
Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.
Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!
Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?
Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
pazuli sana hapo[emoji123] [emoji61] [emoji379] [emoji83] [emoji196] [emoji216]NA N
YIE KAMA MNAJIAMINI MSIWAANDAMANISHE POLISI WENU KUTISHIA WATU
Ukiwasikia nyumbuu wanavyotaharuki unaweza kudhani nchi ipo kwenye Vita kumbe nchi imetulia tuli full Aman.. kila siku nawaambia Kama Wana uwezo waandamane au waitishe maandamano Kama watapata support!?
Ndiyo maana waswahili zigo la Mwenzio ni furushi la Pamba. Kama kila kitu anafanya shemeji ugumu wa maisha utauona wapi!?
Wewe hela uliyokuwa nae kabla 2015 leo unayo?Jana kule Mtwara kumefanyika tamasha la wasafi ambalo limeacha historia kwa kufurika watu kwa kiasi ambacho haijapata kutokea watu kujaa namna ile kwenye uwanja wa Nangwanda.
Pia kule wilaya ya Kahama msanii Ali Kiba naye amefanya tamasha ambalo limeacha gumzo kwa kujaa watu.
Kitendo cha watu kujaa kwenye matamasha haya kimeenda kinyume kabisa na CHADEMA ambao wamekuwa wakieneza propaganda kuwa uchumi umeshuka na watu hawana pesa mfukoni.!!
Chadema ,hasa Tundu Lisu wamefikia hatua ya kuichafua nchi kimataifa kuwa eti Tanzania kwa sasa hali ni mbaya kiasi kwamba watu wanashindia mlo mmoja.!
Sasa tuwaulize nyie chadema ,hivi mtu ambaye anashindia mlo mmoja atatoa wapi hela ya kulipia tamasha na kushangilia mwanzo mwisho kama tulivyoona kule Mtwara na Kahama?
Ifike mahali mkubali tu kuwa kasi ya rais Magufuli ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kufikiri.
Nilikuelewa nikawa nakuunga mkono!Mkuu namjibu huyu jamaa alotoa mfano wa kipuuzi kabisa wa matamasha ya kina diamond kutafsiri hali ya maisha ya watanzania.
Mkuu, embu jaribu kutumia akili yako japo pengine hauna au ipo kidogo, hivi kweli watu kujaa fiesta ni indicator ya kupima kuimarika kwa uchumi au ubora wa maisha wa watu?
Aisee, chama dola kitayumbaHiyo ndiye thintank ya ccm
What a comment!!Sijui CCM hutumia mbinu gani kupandikiza ujinga na ubwege kwenye vichwa vya watanzania wenzetu!!