Yanga nayo ikajipenyeza ikachangia milioni 100...Timu kubwa Tanzania na Africa inaendeleza utamaduni wa kufanya tamasha kubwa, maarufu kama wiki ya wananchi
Shughuli zitakuwa
1. Kutambulisha wachezaji wote na bench la ufundi
2. Kuonyesha mashabiki makombe 5 waliyovuna msimu huu
3. Kucheza mchezo wa Kirafiki na timu kubwa
4. Timu zote za Yanga Kwa maana Yanga princess na Yanga Youth zitatambulishwa Kwa Wanachama
5. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wetu Samia Suluhu Hasan
6. Burudani mbalimbali
Nasikia upande wa mbumbumbu nao wana mambumbumbu day, yaani timu msimu mzima haikupata hata kikombe cha kahawa ati nao wanafanya tamasha.
Hawana makombe ya kuonyesha mashabiki, tungoje kuona wakiingiza kiwanjani majeneza kama ulivo utamaduni wao
Hapo kwenye rasmiTimu kubwa Tanzania na Africa inaendeleza utamaduni wa kufanya tamasha kubwa, maarufu kama wiki ya wananchi
Shughuli zitakuwa
1. Kutambulisha wachezaji wote na bench la ufundi
2. Kuonyesha mashabiki makombe 5 waliyovuna msimu huu
3. Kucheza mchezo wa Kirafiki na timu kubwa
4. Timu zote za Yanga Kwa maana Yanga princess na Yanga Youth zitatambulishwa Kwa Wanachama
5. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wetu Samia Suluhu Hasan
6. Burudani mbalimbali
Nasikia upande wa mbumbumbu nao wana mambumbumbu day, yaani timu msimu mzima haikupata hata kikombe cha kahawa ati nao wanafanya tamasha.
Hawana makombe ya kuonyesha mashabiki, tungoje kuona wakiingiza kiwanjani majeneza kama ulivo utamaduni wao
Mbumbumbu mlichanga 300m ila wewe upo huna habariYanga nayo ikajipenyeza ikachangia milioni 100...
Naona mmemwalika mama yenu
Timu ya chama
Na makombe yenu ila hamna mvuto
CCm fc...Mbumbumbu mlichanga 300m ila wewe upo huna habari
Mama hata umchukie huna cha kumfanya, hata akitoka Rais hutakuwa wewe au baba ko
Rais Samia atahudhuria matamasha yote.Hiyo namba 5 kama itakuwa ni kweli, basi kuna mashabiki hawatahudhuriq hilp tamasha. I wish iwe ni taarifa ya uongo.
Kujifanya wewe ndo mkuu wa itifaki kumbe zuzu moja huko kwa walima ndizi...buahahaRais Samia atahudhuria matamasha yote.
Ataanza tamasha la mambumbumbu tarehe 10 then tarehe 12 atahudhuria Yanga day
Taarifa utakua nayo wwe kapuku?Wewe mbumbumbu huna taarifa yoyote
Utashingilia wwe zuzu kwa sbb unaona fahari yeye kuwepo happ ila sio sisiRatiba Iko ivo mrembo mbumbumbu.
Utake usitake tamasha atakuwa jukwaa kuu na atatoa neno na mtashangilia wanafiki wakubwa
Kaka mimi ni mwanasimba ila kwa hilo niko na wewe pamoja na wana yanga wengine wasiofurahishwa naloHiyo namba 5 kama itakuwa ni kweli, basi kuna mashabiki hawatahudhuria hili tamasha la mwaka huu. I wish iwe ni taarifa ya uongo.
Hilo tamasha linatakiwa liwahusu mashabiki/wanachama na timu yao. Hakuna sababu ya kuwaleta wanasiasa ili kuja kujipakulia minyama kwenye tukio lisilo wahusu.
Mtajitafutia tu mikosi kwenye msimu ujao wa ligi kwa kualika watu wenye roho za mauaji, dhuluma, utekaji, uonevu, nk.
Wakimtangaza kuwepoRais Samia atahudhuria matamasha yote.
Ataanza tamasha la mambumbumbu tarehe 10 then tarehe 12 atahudhuria Yanga day
Basi sawa. Nitalipia tu elfu 28. ☹️Rais Samia atahudhuria matamasha yote.
Ataanza tamasha la mambumbumbu tarehe 10 then tarehe 12 atahudhuria Yanga day