ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
- Thread starter
- #61
Mbumbumbu mna kamasi kichwani mlichukuwa kombe kipindi TFF inaitwa FAT na kipindi Vodacom akiwa mdhamini mkuu wa ligiUzuzu kazi...kwani kama mlichukua msimu ulopita inafuta makombe ya mtu aliechukua misimu mingine? Makombe yake si bado yako kabatini mwake.....
Kwahyo hilo tamasha kumbe ni la kuonyesha makombe? Wenye akili ni 2......
Sisi waasisi wa hizi kazi tupo kwny kazi yetu ile ile ya Simba day na shughuli zake zile zile zinazoendaga sambamba na tukio...sasa nyie mlocopy mnakuja kuonyesha makombe...
Milioni 100 fc