Tamasha la wiki ya wananchi ( Yanga day) kufanyika 12 September, 2025

Tamasha la wiki ya wananchi ( Yanga day) kufanyika 12 September, 2025

7. Kutambulisha ilani ya Chama Cha Mapinduzi na utaratibu wa uchangiaji katika michango ijayo.
Yanga haina Chama
Rais Samia ni Rais wa wote, wa vyama vyote hata wasio na Chama.
Vip huko umbumbumbuni mtaleta kombe Gani au ndo mnajaza majeneza
 
Utashingilia wwe zuzu kwa sbb unaona fahari yeye kuwepo happ ila sio sisi
Huyo ni Rais wako hata ukimchikia huna cha kumfanya.
We tulia akutawale
Fanya kazi acha kumchukia kiongozi asiyekujua
 
Timu kubwa Tanzania na Africa inaendeleza utamaduni wa kufanya tamasha kubwa, maarufu kama wiki ya wananchi

Shughuli zitakuwa

1. Kutambulisha wachezaji wote na bench la ufundi

2. Kuonyesha mashabiki makombe 5 waliyovuna msimu huu

3. Kucheza mchezo wa Kirafiki na timu kubwa

4. Timu zote za Yanga Kwa maana Yanga princess na Yanga Youth zitatambulishwa Kwa Wanachama

5. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wetu Samia Suluhu Hasan.
Ambaye atahudhuria matamasha yote kuanza like la mambumbumbu wa Rage tarehe 10 na tarehe 12 atakuwa tamasha la Yanga

6. Burudani mbalimbali

Nasikia upande wa mbumbumbu nao wana mambumbumbu day, yaani timu msimu mzima haikupata hata kikombe cha kahawa ati nao wanafanya tamasha.

Hawana makombe ya kuonyesha mashabiki, tungoje kuona wakiingiza kiwanjani majeneza kama ulivo utamaduni wao
Hayo makombe kwani hamja yaonesha Kila mkoa.?
Hakika wenye akili uko ni wawili tuuh!?
 
Siku hiyo utoh mnatakiwa kuhudhuria Kwa wingi uwanjani Ili mkusanye mapato ya kutosha ya tofali. Na kampeni za ccm
 
Siku hiyo utoh mnatakiwa kuhudhuria Kwa wingi uwanjani Ili mkusanye mapato ya kutosha ya tofali. Na kampeni za ccm
Mapato ya kuleta makombe
Nyie mtaonyesha nini au majeneza?
 
Fanyeni ubunifu nyinyi sio mnakua na ngojera ngonjera kama wadada kwenye shughuli.
Io yanga ni taasisi kubwa sio uani kwenu...
Yanga ni taasisi, ndo maana imekusanya makombe 5
Njoo Yanga day uone makombe
Mbumbumbu day utaishia kuona majeneza
 
Yanga nayo ikajipenyeza ikachangia milioni 100...
Naona mmemwalika mama yenu
Timu ya chama
Na makombe yenu ila hamna mvuto
Nyie maema mmepigwa boss anasema mseme mnataka asajiri nani maana bado dirisha la usaniri liko wazi. Mchukueni odhiambo
 
Yanga ni taasisi, ndo maana imekusanya makombe 5
Njoo Yanga day uone makombe
Mbumbumbu day utaishia kuona majeneza
Watu wanafocus na msimu mpya nyie mmekalia makombe makombe ya msimu uliopita.
Wawili tuuh ndowanaojitambua
 
Timu kubwa Tanzania na Africa inaendeleza utamaduni wa kufanya tamasha kubwa, maarufu kama wiki ya wananchi

Shughuli zitakuwa

1. Kutambulisha wachezaji wote na bench la ufundi

2. Kuonyesha mashabiki makombe 5 waliyovuna msimu huu

3. Kucheza mchezo wa Kirafiki na timu kubwa

4. Timu zote za Yanga Kwa maana Yanga princess na Yanga Youth zitatambulishwa Kwa Wanachama

5. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wetu Samia Suluhu Hasan.
Ambaye atahudhuria matamasha yote kuanza like la mambumbumbu wa Rage tarehe 10 na tarehe 12 atakuwa tamasha la Yanga

6. Burudani mbalimbali

Nasikia upande wa mbumbumbu nao wana mambumbumbu day, yaani timu msimu mzima haikupata hata kikombe cha kahawa ati nao wanafanya tamasha.

Hawana makombe ya kuonyesha mashabiki, tungoje kuona wakiingiza kiwanjani majeneza kama ulivo utamaduni waoView attachment 3447447
Yanga bwana akili zao haya mambo ya matamasha wakati yanaanza yanga waliiponda sana simba day mwisho wa siku wa ka copy na ku paste cha ajabu aliye copy ndio anajiona mjanja kuliko muhusika au ndio nyie wanafunzi wa form 4 ndio mmemaliza shule juzi hamjui kinachoendelea.
 
Hiyo namba 5 kama itakuwa ni kweli, basi kuna mashabiki hawatahudhuria hili tamasha la mwaka huu. I wish iwe ni taarifa ya uongo.
Hilo tamasha linatakiwa liwahusu mashabiki/wanachama na timu yao. Hakuna sababu ya kuwaleta wanasiasa ili kuja kujipakulia minyama kwenye tukio lisilo wahusu.

Mtajitafutia tu mikosi kwenye msimu ujao wa ligi kwa kualika watu wenye roho za mauaji, dhuluma, utekaji, uonevu, nk.
Yanga na CCM damu damu na chadema na wao wameenda FIFA mpaka na wao wapate million 100
 
Watu wanafocus na msimu mpya nyie mmekalia makombe makombe ya msimu uliopita.
Wawili tuuh ndowanaojitambua
Makambe. Mtayaona
Na vipigo 5 mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi mkipigwa, tutaendelea kuvienzi
 
Yanga bwana akili zao haya mambo ya matamasha wakati yanaanza yanga waliiponda sana simba day mwisho wa siku wa ka copy na ku paste cha ajabu aliye copy ndio anajiona mjanja kuliko muhusika au ndio nyie wanafunzi wa form 4 ndio mmemaliza shule juzi hamjui kinachoendelea.
Vip tamasha lenu kutakuwepo kombe lolote?
Au mnaenda kuona majeneza
 
Back
Top Bottom