Tamasha la wiki ya wananchi ( Yanga day) kufanyika 12 September, 2025

Tamasha la wiki ya wananchi ( Yanga day) kufanyika 12 September, 2025

Hiyo namba 5 kama itakuwa ni kweli, basi kuna mashabiki hawatahudhuria hili tamasha la mwaka huu. I wish iwe ni taarifa ya uongo.
Hilo tamasha linatakiwa liwahusu mashabiki/wanachama na timu yao. Hakuna sababu ya kuwaleta wanasiasa ili kuja kujipakulia minyama kwenye tukio lisilo wahusu.

Mtajitafutia tu mikosi kwenye msimu ujao wa ligi kwa kualika watu wenye roho za mauaji, dhuluma, utekaji, uonevu, nk.
Una uhakika yeye sio mwanachama?
 
Hakuna kombe wala mgeni rasmi nasikia huko kwenu anakuja katibu mwenezi wa CCM.
Mgeni rasmi atakuwa Samia siku ya mambumbumbu na pia atahudhuria siku ya wananchi
 
5. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wetu Samia Suluhu Hasan.
Ambaye atahudhuria matamasha yote kuanza like la mambumbumbu wa Rage tarehe 10 na tarehe 12 atakuwa tamasha la Yanga
Yanga na CCM ni sawa na Tako na chupi
 
Mbona Makolo mnatoa mapovu sana kwenye huu uzi!
Vipi na nyie mtaonesha makombe mliyobeba msimu iliopita??!
 
Yanga ni taasisi, ndo maana imekusanya makombe 5
Njoo Yanga day uone makombe
Mbumbumbu day utaishia kuona majeneza
Wee nae hebu tupishe huko majeneza majeneza mbona na nyie yule okra mlimtambulisha kwny jeneza sijui mtungi wa gas....
Shughuli yenu imedoda tayari na milioni 100 zilizopenyezwa....
Makombe mnamuonyesha nani sasa ambae timu yake haina makombe...acheni ushamba😏😏😏
 
Hiyo namba 5 kama itakuwa ni kweli, basi kuna mashabiki hawatahudhuria hili tamasha la mwaka huu. I wish iwe ni taarifa ya uongo.
Hilo tamasha linatakiwa liwahusu mashabiki/wanachama na timu yao. Hakuna sababu ya kuwaleta wanasiasa ili kuja kujipakulia minyama kwenye tukio lisilo wahusu.

Mtajitafutia tu mikosi kwenye msimu ujao wa ligi kwa kualika watu wenye roho za mauaji, dhuluma, utekaji, uonevu, nk.
Bado kuna scandal mbaya isiyokubalika na miongozo ya FIFA halafu bado wanaongeza petrol zaidi. Kweli kusikia kwa kenge ..............
 
Kama timu tungejitenga na siasa ingekuwa bora sana
 
Wee nae hebu tupishe huko majeneza majeneza mbona na nyie yule okra mlimtambulisha kwny jeneza sijui mtungi wa gas....
Shughuli yenu imedoda tayari na milioni 100 zilizopenyezwa....
Makombe mnamuonyesha nani sasa ambae timu yake haina makombe...acheni ushamba😏😏😏
Mbumbumbu mtaonyesha makombe Gani ya msimu uliopita?
 
Mbumbumbu mtaonyesha makombe Gani ya msimu uliopita?
Mnatupangia makonbe ya kuonyesha? Hivi mmesahau Simba nayo ilichukua makombe miaka 4 mfululu nyie mmefanya come back tuu..kelele mji mzima...
🤮🤮🤮🤮🤮
 
Mnatupangia makonbe ya kuonyesha? Hivi mmesahau Simba nayo ilichukua makombe miaka 4 mfululu nyie mmefanya come back tuu..kelele mji mzima...
🤮🤮🤮🤮🤮
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Sisi tunafurahia makombe tuliyochukua msimu uliopita ndo maana tunafanya tamasha, mbumbumbu mnafurahia nini?
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Sisi tunafurahia makombe tuliyochukua msimu uliopita ndo maana tunafanya tamasha, mbumbumbu mnafurahia nini?
Uzuzu kazi...kwani kama mlichukua msimu ulopita inafuta makombe ya mtu aliechukua misimu mingine? Makombe yake si bado yako kabatini mwake.....
Kwahyo hilo tamasha kumbe ni la kuonyesha makombe? Wenye akili ni 2......
Sisi waasisi wa hizi kazi tupo kwny kazi yetu ile ile ya Simba day na shughuli zake zile zile zinazoendaga sambamba na tukio...sasa nyie mlocopy mnakuja kuonyesha makombe...
Milioni 100 fc
 
Back
Top Bottom