Una uhakika yeye sio mwanachama?Hiyo namba 5 kama itakuwa ni kweli, basi kuna mashabiki hawatahudhuria hili tamasha la mwaka huu. I wish iwe ni taarifa ya uongo.
Hilo tamasha linatakiwa liwahusu mashabiki/wanachama na timu yao. Hakuna sababu ya kuwaleta wanasiasa ili kuja kujipakulia minyama kwenye tukio lisilo wahusu.
Mtajitafutia tu mikosi kwenye msimu ujao wa ligi kwa kualika watu wenye roho za mauaji, dhuluma, utekaji, uonevu, nk.
Hakuna kombe wala mgeni rasmi nasikia huko kwenu anakuja katibu mwenezi wa CCM.Vip tamasha lenu kutakuwepo kombe lolote?
Au mnaenda kuona majeneza
Yanga na CCM ni sawa na Tako na chupi5. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wetu Samia Suluhu Hasan.
Ambaye atahudhuria matamasha yote kuanza like la mambumbumbu wa Rage tarehe 10 na tarehe 12 atakuwa tamasha la Yanga
Panueni kikosi chenu mbona chetu mnahangaika nacho jamani?Nyie maema mmepigwa boss anasema mseme mnataka asajiri nani maana bado dirisha la usaniri liko wazi. Mchukueni odhiambo
Wee nae hebu tupishe huko majeneza majeneza mbona na nyie yule okra mlimtambulisha kwny jeneza sijui mtungi wa gas....Yanga ni taasisi, ndo maana imekusanya makombe 5
Njoo Yanga day uone makombe
Mbumbumbu day utaishia kuona majeneza
🤣🤣🤣🤣 Wapanue nini🤣🤣🤣🤣Panueni kikosi chenu mbona chetu mnahangaika nacho jamani?
Bado kuna scandal mbaya isiyokubalika na miongozo ya FIFA halafu bado wanaongeza petrol zaidi. Kweli kusikia kwa kenge ..............Hiyo namba 5 kama itakuwa ni kweli, basi kuna mashabiki hawatahudhuria hili tamasha la mwaka huu. I wish iwe ni taarifa ya uongo.
Hilo tamasha linatakiwa liwahusu mashabiki/wanachama na timu yao. Hakuna sababu ya kuwaleta wanasiasa ili kuja kujipakulia minyama kwenye tukio lisilo wahusu.
Mtajitafutia tu mikosi kwenye msimu ujao wa ligi kwa kualika watu wenye roho za mauaji, dhuluma, utekaji, uonevu, nk.
Nyie mliokosa kombe au aviola ndiyo wenye mvuto.Yanga nayo ikajipenyeza ikachangia milioni 100...
Naona mmemwalika mama yenu
Timu ya chama
Na makombe yenu ila hamna mvuto
Mbumbumbu mtaonyesha makombe Gani ya msimu uliopita?Wee nae hebu tupishe huko majeneza majeneza mbona na nyie yule okra mlimtambulisha kwny jeneza sijui mtungi wa gas....
Shughuli yenu imedoda tayari na milioni 100 zilizopenyezwa....
Makombe mnamuonyesha nani sasa ambae timu yake haina makombe...acheni ushamba😏😏😏
Mnatupangia makonbe ya kuonyesha? Hivi mmesahau Simba nayo ilichukua makombe miaka 4 mfululu nyie mmefanya come back tuu..kelele mji mzima...Mbumbumbu mtaonyesha makombe Gani ya msimu uliopita?
Ndio....Milioni 100 fc😆😆 aka EliiiiiizaaaNyie mliokosa kombe au aviola ndiyo wenye mvuto.
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbuMnatupangia makonbe ya kuonyesha? Hivi mmesahau Simba nayo ilichukua makombe miaka 4 mfululu nyie mmefanya come back tuu..kelele mji mzima...
🤮🤮🤮🤮🤮
Uzuzu kazi...kwani kama mlichukua msimu ulopita inafuta makombe ya mtu aliechukua misimu mingine? Makombe yake si bado yako kabatini mwake.....Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Sisi tunafurahia makombe tuliyochukua msimu uliopita ndo maana tunafanya tamasha, mbumbumbu mnafurahia nini?