Tamasha la wiki ya wananchi ( Yanga day) kufanyika 12 September, 2025

Mbumbumbu mna kamasi kichwani mlichukuwa kombe kipindi TFF inaitwa FAT na kipindi Vodacom akiwa mdhamini mkuu wa ligi
 
Kubishana na zuzu aliepata makombe ukubwani napo ni kazi..
Kwahyo Kipindi hiko Ngara panaitwa Nguru kwa sasa panaitwa ngoro??
Kwahyo kwa sasa haipo ilipo?
Na inatoaje uhalali wa kuwa na vikombe...
 
Huna akili mbumbumbu, nimekupuuza kumbafu
 
Hii timu yako inakukwaza sana mkuu, pole sana yaani kuanzia rangi za timu mpaka unasaba na wanasiasa, kifupi huna jinsi tuu hahaha. Na hivi viongozi wenu wala hata hawajali hisisa za wengine yaani wanaburuza tuu kama ming'ombe
 
Vipi huko umbumbumbuni, mnangoja ligi ianze muanze kulia na Mangungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…