Wakazi Dodoma kutoa Mabango zenye jumbe zinazosema "FREE ROMA" wakati naibu waziri Anthony Mavunde akijibu maswali yanayohuusu ajira kwa vijana.....Kuna maswali mengi Kichwani?
- Kwa nini tusiamini mabango haya yameandaliwa na clouds media, maana printed bango na kutegea Naibu waziri aliposimama tu. Huku unaona watu katika kusanyiko wanapita wakiasitisitiza waainue juu. Wangekua na bango zenye kuandikwa na kwa mkono walau tungeamini moja kwa moja wananchi wameandika
- Hivi clouds awaoni ni uchonganishi kwa viongozi serikali kutumia events zao na kualika viongozi wakati wakijua wameeandaa chochozi?
- Kwa viongozi wa serikali kuna haja gani kuhudhuria events za clouds kwa sasa kwa hali hii ya ukakasi wa chombo hiki cha habari na viongozi.
- Kwa nini Clouds watumie matamasha kuelezea au kuhamasisha ishu ambazo hazijathibitishwa na kutumia umma tena wa vijana waliokuja ktk event yenye malengo mengne na kukutana na lengo la kuwachonganisha vijana na serikali yao?
- Kimsingi ni harassment waliopatia naibu waziri mavunde kwa maswali na hoja zilizokuwa nje ya malengo ya events yenyewe. kwa upande mwingne naona km ililenga kumchonisha naibu wazir na viongoz wengne katk serikali
- Clouds kama ilitaka maelezo kuhusu Roma, km big media nchini inawezo wa kujua wapi wapate taarifa hizo na kuwaabarisha wananchi. sio kwa mtindo huu live event kumsimamisha naibu wazir kujibu hoja ambazo kismsing yeye ashugulikii na suala la usalama wa raia.
My Take: Baraza la sanaa/ wizara ya habari, utamaduni na michezo..... wanapaswa kuzingatia/kuangalia upya malengo ya XXL Tour, kuna shida hapa. Mkoa fulani niliona hii tour inapromote mwanasiasa msanii...... Tour ya XXL inabeba vijana wengi....sana...iwe platform ya kujenga uzalendo kwa nchi yao sio kupanda mbegu ya chuki..... BADILIKENI CLOUDS......