Tambi na lost ya samaki

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hello
Leo nilitembelewa na mshikaji wangu alikuwa amefunga suni akasema leo nimefunga nakuja uko kukupa hi bas nikajiongeza nimuamdalie futari

Nikaanza kupika tambi napenda za rangi mbili so nikaanza kwanza kuziunguza kwanza kama hivi

Baada ya hpo nikazigeuza kuona kama zimekaa vizuri

Baada ya hpo nikaweka maji kama wewe una tui la nazi ile ya kukuna unaweza tumia iyo badala ya maji nikaweka na sukari na chumvi kama una irick unaweza weka mm sikuwa nay

Baada ya hapo nianza kukaanga samaki zangu hapa uku nasubiri maji yakauke niweke nazi

Baada ya hapo nikatoa samaki

Nikaanza kupika lost
Niliwwka kitunguu

Baada ya hapo nikaweka samaki hoho na karot

Baada ya kuchanganyika vizur nukaweka nyanya

Nikaweka na nazi nika pika na catress nishawai kuleta hapa jinsi ya kuzipika
 

Attachments

  • 1740845361023.jpeg
    407.5 KB · Views: 1
  • 1740848482985.jpeg
    476.6 KB · Views: 1
  • 1740848326081.jpeg
    476.6 KB · Views: 2
  • 1740848240067.jpeg
    476.6 KB · Views: 1
  • 1740846202441.jpeg
    349.8 KB · Views: 1
  • 1740845860369.jpeg
    484.1 KB · Views: 3
  • 1740845669687.jpeg
    413.1 KB · Views: 1
  • 1740845414299.jpeg
    407.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…